Wanaume oeni yatima, hamtojutia

Wanaume oeni yatima, hamtojutia

Kwa hiyo nyumba yako inakuwa kituo cha kulelea watoto yatima?
 
Mambo haya hayana formula..
Unaweza pata yatima akawa mtihani, unaweza kuoata mtoto wa kiongozi wa dini kabisaaa, au nae anaijua dini ila tabia halisi ikawa mtihani.

We ukipata anaekupa furaha na kwake unajisikia ni mwanaume haswa, weka ndani
 
Siku mkiujua mzizi wa tatizo tutakuwa tumesolve 60% ya matatizo yote ya mahusiano.

Tabia ya ukubwani ni reflection ya tabia/mazingira mtu aliyokulia utotoni, kwa kuelewa au kutokuelewa ndiyo yanayomfanya mtu awe alivyo ukubwani. Na inaenda mbali zaidi, namna ambavyo mhusika ameelewa changamoto zake na kuamua kuzifanyia kazi.

Mwingine kwa kukosa familia utotoni anapokuwa mkubwa anathamini sana familia, ni kitu anachoweza kukifia, na familia bora inaanzia na ndoa bora. Kwa upande mwingine, mtu aliyekosa familia udogoni na pengine akalelewa kwa manyanyaso anaweza kuwa na roho ngumu/mbaya sana ukubwani, au akawa wa baridi (cold hearted) ambao ni watu hatari sana. The reason watu wanasumbuana sana katika mahusiano yoyote yale iwe ndoa, urafiki, ujirani, makazini etc ni sababu tunadeal na mashetani yaliyojivika ngozi za binadamu.

Kwahiyo mkuu circumstances yako haitoshi kudraw conclusion na kuitumia kutolea ushauri.
Ma mdogo una kitu; utafika mbali sana. Mimi[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Kila siku mnagundua mambo mapya...
Yaaani hampoi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Akili zinatuchaji kama tumekula ubwabwa wa Hashimu Rungwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Miaka mitatu iliyopita nilioa mwanamke kutoka familia ambayo alikuwa na wazazi wote, kwa kweli ndoa ilikuwa pasua kichwa, mwanamke akajaza vitimbi

Siku moja nikamwambia mjomba wangu kuhusu hali mbaya ya ndoa yangu, akanishauri achana na huyo mwanamke tafuta mwanamke ambaye ni yatima, ambaye maisha yake ya uyatima aliyaishi akiwa kati ya miaka 0 na 23, oa huyo utakuja kunishukuru sana.

Ni kweli kabisa nimetoa shukrani kwa mjomba kwa ushauri aliyonipa ni miaka 2 imepita sasa na hajawahi kuleta mgogoro na mjomba alioa yatima anaishi kwa amani sana na mimi nakushauri tafuta yatima oa, ndoa yako itakuwa salama sana.

Na wanawake wa hivi wananidhamu, upendo, huruma, na wanyenyekevu ila ukimuudhi ni rahisi kububujikwa na machozi na nzuri zaidi mme wake ndiyo humfanya kama baba yake mzazi ambaye alimuacha akiwa mdogo.
Kupitia uzi huu ni dhahiri Mwanaume anapotaka kuoa anaoa AMANI YA NAFSI YAKE akiikosa ndio anaungana rasmi na CHAMA CHA WAKATAA NDOA[emoji3]
 
Huku wanawake nao wakiwa na agenda ya kuole na mwanaume aliyefiwa na wazaz wote
Kama wapo hai hakuna ndoa
Purukushan za mamkwe no
Mambo ni mvurugano🤣😅
 
Ukienda kuoa angalia nani mwenye kauli kwenye familia kati ya Baba na Mama, ukiona Mama ndio mwenye kauli kijana jiandae kisaikolojia hapo jiandae kuburuzwa maana huyo binti kakopi familia yake inavyoendeshwa kimama Mama, ukikuta mwenye kauli ni Baba Oa fasta tena usiulize mahari mara 2 na usiweke hata deni maliza ingawa wanasema mahari haimalizwi

Na bado mpk mseme
 
Back
Top Bottom