Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Huko kazini, nimekutana na case ya dada ametolewa cervix (mlango wa kizazi) kwa sababu ya kujifukiza na kujiingiza mavitu ukeni.
Jamani, waambieni wanawake wasiweke vitu huko chini, athari zake ni kubwa na hakuna faida wala matokeo yoyote atayapata kwa kufanya hivyo zaidi ya kuwa na harufu mbaya na maambukizi yasiyoisha.
Waambieni pia wanawake waache kuosha hizo papuchi kwa ndani na sabuni. Mwanamke ukitaka uke unukie vizuri, osha na maji tu. Kama una msitu na ukikojoa hupanawishi vizuri, basi osha na sabuni kwa pembeni tu kwenye mavoozy, usipitishe sabuni ndani ya vulva, wala ndani ya uke (na kamwe usitumie medicated soap, zile za kuua bacteria huko chini).
Mwanamke ukitaka uke ukaze, basi fanya mazoezi ya kukaza na kuachia kuta za uke (kegel exercises). Hiyo ndiyo njia effective ya kukaza uke. Kama hujui namna ya kufanya, uliza tukufundishe!
Mwanamke ukitaka kuwa mtamu na ute uongezeke, kunywa maji mengi na zingatia lishe.
Mwenye masikio na asikie, wabishi, endeleeni kushupaza shingo, baada ya miaka kadhaa itakua ni wewe unaingia chumba cha oparesheni kwa sababu ya ujinga.
Ni hayo tu!