Wanaume ongeeni na wanawake zenu labda nyie watawasikiliza

Wanaume ongeeni na wanawake zenu labda nyie watawasikiliza

Kuiga kwingi sn,watoto wa pwani wanatumia udi kuweka harufu nzuri mwilini mwake na si pafyumu or chemical za machina,mimi nafikir wengi hawana elimu ya afya ya uzazi they just do it kwa atakavyofikiria or kusikia,sabuni ni kitu kibaya sana sehemu za siri za mwanamke
Una uhakika gani kuwa ni sehemu za siri ikiwa K zimeshatembea miles za kutosha kwa Me tofauti tofauti?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
kwamba leo hii hizi mada kwako zimekuwa za ajabu?🤔🤔
Ni seriously za ajabu kwangu mi kwa sasa mada zangu ni how to manipulate rocket science in practice or theories of warm hole
 
🙌🙌🙌🤣😂😂😂 watu mna mbwembwe,...hiyo yote ni kuwavuta mashangazi ya JF..😂🤣😆
Hapana bana mi nipo hvo sku zote mkuu au kuna mtu labda ume match na mimi 😂😂😂😂😂 angalia jukwaa la intelligence utajua mi ni nani mkuu
 
Back
Top Bottom