nakwede97
JF-Expert Member
- Aug 9, 2021
- 3,017
- 9,986
Wanawake wapunguze kulala na wanaume tofaut tofaut U. T. I na P. I. D hazitoisha kutanuka mpaka ujionee mait iliyooza hiyo ndio silaha Kwa Kila mwanamke kutoshiriki na wanaume wengi ovyo ovyo
Na unataka uke mdogo huku bado unakutana na wanaume wengi wenye maumbile tofaut ndo mnaanza kuweka madawa huko chini
Kujitunza na kua msamfi epuka matumizi ya wanaume wengi hizo harufu hutosikia
Nguo za ndan Anika nje zipigwe na jua na zibadilishwe mara Kwa mara sio unavaa chupi miezi 🙆😎