Sijajisikia tu mkuu na huwa si kawaida yanguSubutu, wewe usisome π
Hizi ndizo mada zako pendwa sana.Sijajisikia tu mkuu na huwa si kawaida yangu
Hahahaha π, Wala hujanisingizia.Hizi ndizo mada zako pendwa sana.
Huwa mnajisokomeza hayo madude ukeni ili iweje? Mnasikia Raha au mnatafuta Nini?Huko kazini, nimekutana na case ya dada ametolewa cervix (mlango wa kizazi) kwa sababu ya kujifukiza na kujiingiza mavitu ukeni.
Jamani, waambieni wanawake wasiweke vitu huko chini, athari zake ni kubwa na hakuna faida wala matokeo yoyote atayapata kwa kufanya hivyo zaidi ya kuwa na harufu mbaya na maambukizi yasiyoisha.
Waambieni pia wanawake waache kuosha hizo papuchi kwa ndani na sabuni. Mwanamke ukitaka uke unukie vizuri, osha na maji tu. Kama una msitu na ukikojoa hupanawishi vizuri, basi osha na sabuni kwa pembeni tu kwenye mavoozy, usipitishe sabuni ndani ya vulva, wala ndani ya uke (na kamwe usitumie medicated soap, zile za kuua bacteria huko chini).
Mwanamke ukitaka uke ukaze, basi fanya mazoezi ya kukaza na kuachia kuta za uke (kegel exercises). Hiyo ndiyo njia effective ya kukaza uke. Kama hujui namna ya kufanya, uliza tukufundishe! β¨β¨
Mwanamke ukitaka kuwa mtamu na ute uongezeke, kunywa maji mengi na zingatia lishe.
Mwenye masikio na asikie, wabishi, endeleeni kushupaza shingo, baada ya miaka kadhaa itakua ni wewe unaingia chumba cha oparesheni kwa sababu ya ujinga. β¨β¨
View attachment 3301115
Ni hayo tu!
Nakuja...kumbe upo hometown kwangu hapo BbtAsubuhi sana hii ujue, anyway, harufu nzuri ni ile ukipeleka pua na ulimi, unataka uendelee kuinusa na kuikula.
Kama huijui, basi njoo Babati nikuonyeshe π π
Hizo hizoπDuuuh yani barafu hizi hizi na baridi yake.
Kweli mbinguni tutafika tunatweta kwa uchovu π π
Hatari sana!Hizo hizoπ
ππππ Asubh asbh nakutana na mada za ajabuKama kawaida, kuna picha moja imekosekana ππ₯²π₯² na hata hio iliyopo imekosewa kuwekwa(igeuzie kwa watazamaji)....au nyie ndugu zangu mnasemje... Mbaga Jr ,.. Poor Brain min -me ,... mzabzab
Uwe unasoma basi, ndiyo ureply πSijasoma hii thread sijui ni kwa nini.
Ushauri mzuri, natumai wanawake wenzetu watasoma na kujifunza.Wanawake wapunguze kulala na wanaume tofaut tofaut U. T. I na P. I. D hazitoisha kutanuka mpaka ujionee mait iliyooza hiyo ndio silaha Kwa Kila mwanamke kutoshiriki na wanaume wengi ovyo ovyo
Na unataka uke mdogo huku bado unakutana na wanaume wengi wenye maumbile tofaut ndo mnaanza kuweka madawa huko chini
Kujitunza na kua msamfi epuka matumizi ya wanaume wengi hizo harufu hutosikia
Nguo za ndan Anika nje zipigwe na jua na zibadilishwe mara Kwa mara sio unavaa chupi miezi ππ
Ndiyo, karibu sana!Nakuja...kumbe upo hometown kwangu hapo Bbt
Kinatakiwa kuingia kitu kimoja Tu kitakatifuHuwa mnajisokomeza hayo madude ukeni ili iweje? Mnasikia Raha au mnatafuta Nini?
Yani, hata mimi sielewi kwanini wanawake huwa wanafanya hivi.Kwakweli Mungu atusaidie sijui Huwa wanawaza nini
Kuna sabuni za kilaharufu wanaweka mara nn then badae tunalalamika ukavu na maambukiz yasiyoisha
nipo babati muda huu nami nataka kuonaAsubuhi sana hii ujue, anyway, harufu nzuri ni ile ukipeleka pua na ulimi, unataka uendelee kuinusa na kuikula.
Kama huijui, basi njoo Babati nikuonyeshe π π
Yote uliyosema ni kweli mai.K inajiosha yenyewe
Ni kitu kimoja Tu kinatakiwa kuingia humo
Hata condom sio nzuri
Ila hizi mada na hizi mvua sio jamani
Huu mwili sio chuma wandugu