Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
Eti awe mtamu?Mi nadhani na suala la kukosa elimu dunia inachangia,sidhani kama msomi anayejielewa atafanya huo ujinga.
Wana vigroup wanashinda wanafundishana ujinga tu.
Inasikitisha sana kwa kweliMi nadhani na suala la kukosa elimu dunia inachangia,sidhani kama msomi anayejielewa atafanya huo ujinga.
Wana vigroup wanashinda wanafundishana ujinga tu.
Nilikuwa nimechaoka my.Uwe unasoma basi, ndiyo ureply π
Mimi naendelea vyema dada, nafurahi kusikia upo salama kipenzi πMimi mzima kaka.!! Hofu kwako kaka yangu wa pekee.. π
Pole my, vipi umepumzika sasa umepata nguvu?Nilikuwa nimechaoka my.
Nimepimzika my, sasa nitasoisoma thread na kuielewa.Pole my, vipi umepumzika sasa umepata nguvu?
πAisee saa moja na dakika 10 asubuhi yooote hii kitu cha kwanza kufungua JF nakutana nacho ni mambo ya VAGINA sijui imeharibikaπ€’
View attachment 3301120
Aisee JF,,π€£ ππΏ
Sawa my, basi uisome sasa πNimepimzika my, sasa nitasoisoma thread na kuielewa.
Haya myπSawa my, basi uisome sasa π
Una uhakika gani kuwa ni sehemu za siri ikiwa K zimeshatembea miles za kutosha kwa Me tofauti tofauti?Kuiga kwingi sn,watoto wa pwani wanatumia udi kuweka harufu nzuri mwilini mwake na si pafyumu or chemical za machina,mimi nafikir wengi hawana elimu ya afya ya uzazi they just do it kwa atakavyofikiria or kusikia,sabuni ni kitu kibaya sana sehemu za siri za mwanamke
Fala sana [emoji23][emoji23]Naomba kuuliza, hizo harufu nzuri wewe kama mwanamke umezijuaje ni nzuri?
View attachment 3301117
kwamba leo hii hizi mada kwako zimekuwa za ajabu?π€π€ππππ Asubh asbh nakutana na mada za ajabu
Ni seriously za ajabu kwangu mi kwa sasa mada zangu ni how to manipulate rocket science in practice or theories of warm holekwamba leo hii hizi mada kwako zimekuwa za ajabu?π€π€
ππππ€£πππ watu mna mbwembwe,...hiyo yote ni kuwavuta mashangazi ya JF..ππ€£πNi seriously za ajabu kwangu mi kwa sasa mada zangu ni how to manipulate rocket science in practice or theories of warm hole
Hapana bana mi nipo hvo sku zote mkuu au kuna mtu labda ume match na mimi πππππ angalia jukwaa la intelligence utajua mi ni nani mkuuππππ€£πππ watu mna mbwembwe,...hiyo yote ni kuwavuta mashangazi ya JF..ππ€£π