Wanaume, safisheni nyeti zenu jamani

JF msipomtunuku huyu dada hata cheti cha kujaza server mtakuwa na roho ngumu kama CHAJE
 
..Hizi technique za kutafuta KIKI zmezidi,Mlenge Mhusika sio unaGeneralize tu Ivyo na kama unapata wanaume wa sampuli hio na wee utakua Ivyo Bila shaka [emoji41]
 
Kwa mfano unaenda Kwa mkeo unakuta Hali hii kitandani na unajua kabsa unasiku kadhaa haujafika nyumbani kulingana na kazi zako za kila siku unarudi nyumbani baada ya week moja,je ni uamuzi gani utachukuwa

 
Mkuu.....
Naomba nitangaze nia hapa...[emoji39] [emoji39]
 
Hv monicca siutulie ww siumeolewa ww au ushaachika umejuaje hizo boxer chafu au ya jamaa ndio chafu af anafuga rasta
 
Hayo ni maua kwa ajili ya kupendezesha mahali anapoishi Mr. Cobra !! Na pia ni washangiliaji wazuri wakati Mr. Cobra anazama ndani ya chupa kutema mate.
 
Jina lako lenyewe mwajuma ndala ndefu
Umeshauriwa kitu kizuri kwani mwanaume anahitaji matunzo kama ana nuka na hanyoi inabidi umfanyie ukarabati wewe maana akitoka nje mchafu watu watakushangaa wewe
 
Pole jamani umedate mvulana ndio maana... Siku nyingine date mwanaume Dada Monicca
 
BUsara nyingi,umeitakatisha siku yangu
 
Wamesikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…