Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,935
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona Mlevi Mmoja..!!Daah naona kibabu kinafaidi ..nyie wanawake mnaona sisi wanaume hatuzeeki nyie leteni maringo tunawaangalia tu
.. ..embu cheki mishkaki kama yote amepiga nayo picha ukicheki picha ya juu kabisa kuna madam amechuchuma nyuma amebeba two planet yaani hiyo ni solar system kabisa hyo inayojitegemea
Yote. Tisa pesa sabuni ya roho
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimesema kwa anayeijua dar tu..Kwahiyo mfano kama mwanaume anaijua Dar tu na miji mingine mikubwa duniani nje ya Tanzania halijui jembe na ana pesa mob tu napo kuna kitu anakosa enh??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupata mwanamke atakaye kutii na akafiti vizuri kwenye nafasi yake kama mke wakati huo tayari ukiwa na fedha ni suala la heri sana, lakini kupata mwanamke atakaye kubali kuwa na wewe kipindi huna kitu na mkaanza wote safari ya kutafuta maisha hilo ni suala la bahati kichizi.Kwanini msitafute wote?
Mkaifurahia wote?
Usisubiri upate pesa, mtafute halafu muanze kuzitafuta wote....vichwa viwili ni bora zaidi ya kimoja.
Hakuna mapenzi ya kweli yaliyowekezwa kwenye pesa.
Zama hizi kumpata wa hivyo labda ukamtafute huko NEPTUNE na sio hapa EARTH.Dad nishakueleza kwa kwetu huku uswahilini ni ngumu kumpata mtu unayemzungumzia. Wanawake wa huku mentality yao imekaa kwqmba wakipata mwanaume basi wanaenda kuponea shida zao..
Ni wanawake wachache sana kukutana nao. I wish nimpate huyo
leo ni wewe huyu? Lizarazu
Do they still bread species of your kind?Naamini sio wote wako hivyo.
Usikate tamaa utapata wakufanana naye.
Wengine ugonjwa wetu sio pesa....ukiwa na sense of humor tu nakuelewa[emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]"Tuma na ya kutolea"
[emoji23][emoji23]
Ni rahisi kushinda biko kuliko kumpata KE mwenye mentality kama ya huyo dada karne hii ya 21Nitafutie mdada mwenye mentality kama yako. Mmebaki wachache sana
Wanaume walivyokuwa wajinga,Ni rahisi kushinda biko kuliko kumpata KE mwenye mentality kama ya huyo dada karne hii ya 21
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchizi kweli ana nia, kwa jinsi anavyoonekana akimpata mdada wa hivyo atajenga kichuguu kabisa na hakika huyo dada ataishi kama malikia. So fungua milango basi kama wewe ni aina ya mdada anayemtafuta[emoji14][emoji14]
Iwe ni nature ama some unknown societal system ila ujumbe ni kukubaliana na uhalisia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nature gani ??... hiyo ni jamii imewaweka muwe hivyo mlivyo
Angalia ukiwa pemba hata sokoni huendi ,unakaa ndani kama kochi ila ukienda bara wanawake wanalima kama matrekta. Usiaminishwe na ukaamini wanawake fighters wanavutia bhhana
Asante sana kwa mchango huu. Hii ni comment bora kabisa ya hii thread tena ningependa mods wai attach pale juu na original thread.Toa mwaya kile kidogo cha upendo..
usimzoeshe kumpa hela..au kumpa kila baada ya muda..lets say week mbili,
hii routine siku huna pesa ita create tension between you..
.usitoe kiasi kikubwa sana mpaka mifuko yako itoboke...ukifanya hivyo utaanza kujichukia ama ku feel guilty ukipata ishu nyingine inayohitaji pesa,...
toa pesa ndani ya uwezo wako...
halafu sio mara zote utoe cash,,,
Unaweza kumnunulia hereni,perfume au kumtoa dinner...
Wanaume wengi hawajui,
wanawake sisi tunapenda kuonyeshwa tunajaliwa constantly,kama wao wanavyopenda sex constantly...
ukicheza na emotions zetu utafurahia pendo..LOL....
Chunguza ambao hawajoa au ma senior bachelor wengi utagundua ni MABAHILI..LOL
Ukiwa mtu wa kujitoa,huwezi kukosa mke...lol
Nilishapiga box mbili za Heineken hapa mpaka najiandaa kuongeza la tatu.Hii ndiyo thread bora kwa mwaka huu 2020, mleta mada kanywe bia kiwango uwezacho nakuja kulipa
Na log off
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi sio pesa, lakini pesa ni catalyst ya mapenzi hayo.Nimeona shoga,, kweli mwaka mpya na mambo mapya..
Sijui kwanini mie huwa naamini mapenzi siyo pesa,, au labda ni vile sipendi kuomba..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli arifu. Kulia lia hakujawahi kusaidia kabisa na wala haitokaa itokee, mkono mtupu haulambwi, Hata nzi hakai sehemu kavu isiyokuwa hata uvundo.Uzi mrefu sijasoma wote lakini naunga mkono hoja. Tutafuteni pesa sio kulialia ili tuhurumiwe.[emoji3]
(Penye njaa hata panya hakai)
Sasa kwanini unataka mimi niendelee kuosha vyombo wakati na wewe upo?Halafu mbaya zaidi siyo kwamba hizo kazi hawaziwezi wanaziweza sana na kabla hawajaoa huwa wanazifanya ila wakishaoa huwa wanageuka vilema ghafla
Sent using Jamii Forums mobile app
Statistically about 85% of all the monies in this world is earned by men but more than 75% of those monies is spent by women.Sidhan Kama wanawake wetu wanawaza kutafuta. Ht wakitafuta bado wanataka wahongwe tu.Wao wanataka wakute ziko tayari.Hivi kweny race nyingine pia Kuna wadangaji Kama walivyo wanawake wa kiafrika? Huwa hafikir wanaume wa kizungu mf inside London huwa nao wanahonga Kama sisi? Ifanyike analysis ya namna tunavyopoteza hela kwa kuhonga.
A man just needs loyalty from a woman and not love.Kujaliwa constantly unakomaanisha, si ndo huko kupewa pesa constantly? Shida ni kuwa wanawake wengi mnapendea wanaume pesa, jitu hulipendi na halikuvutii kingono, ila likikutongoza, unalipa namba ili ulipige mzinga na likutoe out,
shida si kutoa hela, sisi wanaume hatutaki mtupendee hela, na mkitupendea hela, tuna-sense ndo maana tunalalamika humu jf mkituomba hela, maana unajua mmh hapa sipendwi Rebeca 83