Wanaume sasa tuacheni malalamiko na badala yake tuongeze juhudi kwani hakuna chochote kitakachobadilika

Wanaume sasa tuacheni malalamiko na badala yake tuongeze juhudi kwani hakuna chochote kitakachobadilika

Daah we ni waifu materials kabisa ila sasa hayo uliyoyasema wachache wako hvo


Tatizo wenzako wanataka watukwangue kabisa watuchune mpaka basi yaani in short wanapenda pesa kuliko mfuko hilo sikatai tutawapa tu ila sasa kuwe na karoho ka utu basi siku nikikwama unavumilia lakini nyinyi ni nduki [emoji3] Rebeca 83,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mia mia

Siku zote priority ya kwanza iwe kuzisaka pesa ila kuhusu kumu win mwanamke ni kama jambo lisilokuwa la lazima sio la kulipa kipaumbele
Swala la kuwawin wanawake haliwezi kuwa motivation yangu ya kutafuta hela. Wengi wanaoletwa na hela zako ni wanawake ambao huwahitaji labda kugegeda tu. Mwanamke anayekufaa atavutiwa na struggle zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka nishambuliwe eeeh!?!
Don mwenyewe amenishambulia hapo juu kwa sababu anaishi dar..japo yeye mikoani anakujua

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wa mikoani hawaogopi kitu chochote zaidi ya Mungu na wanaume wa mikoani ..we ongea tu [emoji3][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Statistically about 85% of all the monies in this world is earned by men but more than 75% of those monies is spent by women.

Hivyo basi hata hao wanawake wa kizungu wanahongwa na wanadanga kama kawa tu maana wanatengeneza sehemu ndogo sana ya income earners.

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi tusizake kwa udi na uvumba japo shida ni hiyo mentality yao ya zisakeni Sana ili mutupe kana kwamba hatuwez kuzisaka tukiwa pamoja.
 
Kwa nini unadhani wanawake 'WENGI' as you put it wanapendea wanaume pesa???

Wengi maanake ni majority..

Na ukishaona kitu persistent kinatokea kwenye jamii...mie huwaga nachukulia ni kama trait ama survival instinct.. LOL


ila ndio hali halisi,hata wanyama tuna share nao this instinct...

sijui niliona wapi,ila mnyama male yule aliye agressive ndio female wanawapenda, ni sign ya kuwa protective..female anafeel kuwa protected...na pia huyo mnyama anaweza kuleta resources bila kuuwawa na hivyo..watoto wa huyu female wana uhakika kukua........so hio protection/resources .kwetu wanadamu ni sawa na pesa...LOLSSSSSS.....

Ngoja nkuulize, ww utafurahi siku ukigundua boyfriend wako alikupendea pesa Rebeca 83
 
Khaa unasubiri nini sasa kwani namba yangu hauna au [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] tena fanya haraka maana nina kiu
Yote Tisa,kumi hakuna Uzi ulivunja rekodi ya kubishana Kama ule wa nyenyere wa singo mama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani mashambulizi yote uliyamudu,nikiukumbuka ule natamani hata nikununulie soda unywe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom