Wanaume sasa tuacheni malalamiko na badala yake tuongeze juhudi kwani hakuna chochote kitakachobadilika

Umeona Mlevi Mmoja..!!

Wanaume tuna advantage kubwa sana ni suala la kukubaliana na uhalisia tu uliopo kwenye dunia yetu hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo mfano kama mwanaume anaijua Dar tu na miji mingine mikubwa duniani nje ya Tanzania halijui jembe na ana pesa mob tu napo kuna kitu anakosa enh??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimesema kwa anayeijua dar tu..
Yaani hajawahi kutoka nje ya dar tangu anazaliwa Hadi anakua ,yaani yeye na dar dar na Yeye.

Huyo aliyetoka toka nje ya nchi amekamilika maana ana exposure na maeneo mengi.

Huyu aliyekaa dar tu aisee hapana, lazima nifanye mpango wa kumzungusha..nampeleka hata uyole pale apigwe pigwe na kiubaridi.
Hata Kama ana pesa ya kumwaga,nitatamani nimzungushe japo mkoani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini msitafute wote?
Mkaifurahia wote?
Usisubiri upate pesa, mtafute halafu muanze kuzitafuta wote....vichwa viwili ni bora zaidi ya kimoja.
Hakuna mapenzi ya kweli yaliyowekezwa kwenye pesa.
Kupata mwanamke atakaye kutii na akafiti vizuri kwenye nafasi yake kama mke wakati huo tayari ukiwa na fedha ni suala la heri sana, lakini kupata mwanamke atakaye kubali kuwa na wewe kipindi huna kitu na mkaanza wote safari ya kutafuta maisha hilo ni suala la bahati kichizi.

It's time to accept reality

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dad nishakueleza kwa kwetu huku uswahilini ni ngumu kumpata mtu unayemzungumzia. Wanawake wa huku mentality yao imekaa kwqmba wakipata mwanaume basi wanaenda kuponea shida zao..
Ni wanawake wachache sana kukutana nao. I wish nimpate huyo
Zama hizi kumpata wa hivyo labda ukamtafute huko NEPTUNE na sio hapa EARTH.

we are just being real, it's 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini sio wote wako hivyo.
Usikate tamaa utapata wakufanana naye.
Wengine ugonjwa wetu sio pesa....ukiwa na sense of humor tu nakuelewa[emoji6][emoji6][emoji6]
Do they still bread species of your kind?

Niliskia mara ya mwisho mlienda na kimbunga mkapotelea bahari ya Indi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iwe ni nature ama some unknown societal system ila ujumbe ni kukubaliana na uhalisia.

Mwanamke ni wa kupewa tu haijalishi ni fighter ama anashinda ndani tu anaangalia KAPUNI.

You can't change what has been here for thousands of years.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana kwa mchango huu. Hii ni comment bora kabisa ya hii thread tena ningependa mods wai attach pale juu na original thread.

Nadhani umenisoma vizuri kuna mahala nimesema mwanaume hauitaji kuwa na mapesa mengi bali unahitaji kuwa na pesa kiasi za kutatulia vichangamoto vidogo vidogo tu kwa kiwango fulani.

Mimi naamini mwanamke kama ni mtu mwenye shukrani hata ukimpa nusu ya kile alichokuomba kinatosha.

Mfano anakuomba 50k wewe ukimwambia "dear kwa sasa siko vizuri labda nikupe 20k inayobaki utatafuta kwingine" kwa kufanya inatosha sana na akishamaliza shida yake atakachokumbuka yeye ni kwamba ulimjari na wala sio kiasi ulichompa.

Nakubali Playboys wengi ni wabahili, sio wahongaji kiviile isipokuwa ni muonekano wa hela na tricks ndogo ndogo ndio zinawapatia wanawake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndiyo thread bora kwa mwaka huu 2020, mleta mada kanywe bia kiwango uwezacho nakuja kulipa


Na log off

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishapiga box mbili za Heineken hapa mpaka najiandaa kuongeza la tatu.

Nimeona tufungue mwaka kwa kukumbushana tu kipi cha kufanya hili kupunguza lawama ambazo zimekuwa hazina msaada juu ya kile tunacholalamikia.

Zile habari za mtu kuombwa shilingi 5,000 halafu anakuja kufungua uzi nafikiri baada ya thread hii hazitakuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona shoga,, kweli mwaka mpya na mambo mapya..

Sijui kwanini mie huwa naamini mapenzi siyo pesa,, au labda ni vile sipendi kuomba..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi sio pesa, lakini pesa ni catalyst ya mapenzi hayo.

Pasipo na pesa hamna chakula
Pasipo na pesa hamna mavazi
Pasipo na pesa hamna kukumbukana
Pasipo na pesa hamna outings

Pasipo na pesa hamna furaha.

Unaweza ukawa hupendi kuomba lakini haimaanishi pesa kwako sio chanzo cha furaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi mrefu sijasoma wote lakini naunga mkono hoja. Tutafuteni pesa sio kulialia ili tuhurumiwe.[emoji3]
(Penye njaa hata panya hakai)
Kweli arifu. Kulia lia hakujawahi kusaidia kabisa na wala haitokaa itokee, mkono mtupu haulambwi, Hata nzi hakai sehemu kavu isiyokuwa hata uvundo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Statistically about 85% of all the monies in this world is earned by men but more than 75% of those monies is spent by women.

Hivyo basi hata hao wanawake wa kizungu wanahongwa na wanadanga kama kawa tu maana wanatengeneza sehemu ndogo sana ya income earners.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A man just needs loyalty from a woman and not love.

Huna haja ya kupendwa sana kama ni mkweli na muelewa wala sio tapeli tapeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…