Yaani acha tu!!
Kati ya ndoa10 zinazovunjika, 7 zinavunjika kwa sababu ya financial crisis inayoikumba familia hasa kwa mume.
Wanaume walivyokuwa wajinga,
Wakimpata wa hivi,wanaanza kumuona mjinga si lolote.
Wanaume huwa hawajui wanachokitaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa hili life is survival for fittest game even in pussy. Aache uzembeHana nia huyu mtu. kila siku anataka kuonewa huruma kutongoza hataki anaogopa na asema kabisa kuwa hana ujasiri. Hakuna huruma kwenye kupewa uchi..fight to get it sio kukaa usubiri atokee mama huruma from nowhere
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamanda mkuu kasemaNa wanawake hatutakiwi kuwa na mtu kwa sababu ya huruma,Bila kujali Ana pesa au Hana
Ukiamua kumpenda mwanaume mpende tu lakini eti sio kumpenda kwa kumuonea huruma kwamba Hana pesa.
Na Ni ujinga kwa mwanaume kusubiria huruma za kupendwa eti kisa Hana hela basi anataka aonee huruma apendwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh... haya bwana.Mdogo angu imekuaje kuaje huu uzi hujaandika wewe
Wanaume wote wako hivyo...yaani mkijua tu kama tunawapenda basi mnaanza kutunyanyasaKwa bahati mbaya sana wanawake wa hivyo mara nyingi wanaangukiaga kwa hao wanaume wajinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀Kweli kabisa hili life is survival for fittest game even in pussy. Aache uzembe
Sent using Jamii Forums mobile app
Itabidi uwachukue uwalete hata hapa domMimi nna baba zangu wadogo wamezaliwa Dar sehemu pekee waliowahi kukanyaga nje ya Dar ni mlandizi Pwani, na umri wao ni zaidi ya miaka 50.
Watu kama hawa wakija mikoni wanahisi wako kifungoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zako wewe na lizarazu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kusubiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huwa niko real sema hamjui tu.
Kwenye nyeusi nasema nyeusi na wala sio kijivu, kwenye nyekundu nasema nyekundu na wala damu ya mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app