Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
- Thread starter
- #301
Saint anne, Mimi nna baba zangu wadogo wamezaliwa Dar sehemu pekee waliowahi kukanyaga nje ya Dar ni mlandizi Pwani, na umri wao ni zaidi ya miaka 50.
Watu kama hawa wakija mikoni wanahisi wako kifungoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu kama hawa wakija mikoni wanahisi wako kifungoni.
Sent using Jamii Forums mobile app