Wanaume sasa tuacheni malalamiko na badala yake tuongeze juhudi kwani hakuna chochote kitakachobadilika

Wanaume sasa tuacheni malalamiko na badala yake tuongeze juhudi kwani hakuna chochote kitakachobadilika

Sijasoma yote ila naunga mkono hoja, tafuteni pesa jamani maana tunazihitaji sana.
Na wote tuseme Amen!
Muwe na huruma
Screenshot_20200106-184838.png
 
Nature yetu Ni kupewa na sio kuomba.
Mwanaume mwenye akili atajiongeza,pale anapotakiwa kutoa atatoa...msisubirie tuombe, mwanaume anayesubiri kuombwa hela atasubiri sana.

Wewe unatafuta ila Kuna wanaume Ni hasara,hawahangaiki na chochote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona hupewi hadi uombe,you don't deserve. Btw kwanini upewe? Huna uwezo wa kutafuta zako?
 
Mapenzi sio pesa lakini pesa ni kichocheo kizur cha upendo.

Ukiwa huna mkwanja ni ngumu kua na stable relation....na hata mbwa wako anaweza kukung'ata pia Kama huna pesa maana utakosa mkwanja wa kununua ata dog meet [emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona hupewi hadi uombe,you don't deserve. Btw kwanini upewe? Huna uwezo wa kutafuta zako?
Siwezi kuomba,,,zaidi mtu akijisikia atanipa.
Uwezo wa kutafuta ninao Sana na sijawahi tegemea pesa ya mtu..napewa kwa sababu mtu ameamua kunipa ,pia kwenye maisha Kuna wakati changamoto zinaibuka zisizoeleweka..hizo zipo pande zote na katika case hizo mwanamke anaweza toa kumsaidia mwanaume...
Lakini katika mahusiano ya ndoa jukumu la kuprovide Ni la mwanaume.

Sidhani kama mada inahusu walio kwenye ndoa
 
Zaburi inasema fedha ni ulinzi kama vile hekima. Kitu cha msingi tuwe na fair trade nakuhudumia nihudumie pia sio natimiza mahitaji yako then yangu yako pending hiyo mbaya sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama mada inahusu walio kwenye ndoa
Inahusu wote..

Dunia ya Sasa couples wanafanya tendo la ndoa kabla ya ndoa..

Kawaida inatakiwa mwanaume asimuingilie mwanamke kabla ya ndoa maana bado hajahalalishwa kwake.

Na ikiwa akafanya hivyo basi aende kwa wazazi wake akatoe mahari..haruhusiwi kumuacha huyo mwanamke maana keshakuwa mkewake..na inatakiwa amhudumie Kama mkewe maana mwanaume Ni provider

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom