Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
Siku yako ipo. Miaka 13 ijayo.Hunger to be in love eti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku yako ipo. Miaka 13 ijayo.Hunger to be in love eti
Utakua kiumbe wa ajabu mwenye jinsia ya kike kama huna huruma kwa watu.
Hahahahhaha no thanks.. kule chini nimeambiwa nitaota kutuSiku yako ipo. Miaka 13 ijayo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume tafuteni pesa...
Msitake huruma huruma,kutoa Ni nature yenu,mwanamke kupokea ni nature yake.
Karma upite na huku MMU kumenoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo mbaya sense of humour wont pay bills.. wanaume ni lazma tutafute ili kuwa figures katika familia lakini simaanishi mwanamke akae kama pambo la nyumba.she must work maana kesho hatuijuiNaamini sio wote wako hivyo.
Usikate tamaa utapata wakufanana naye.
Wengine ugonjwa wetu sio pesa....ukiwa na sense of humor tu nakuelewa[emoji6][emoji6][emoji6]
Uongo mbaya sense of humour wont pay bills.. wanaume ni lazma tutafute ili kuwa figures katika familia lakini simaanishi mwanamke akae kama pambo la nyumba.she must work maana kesho hatuijui
Hayo ndio maneno."Tuma na ya kutolea"
[emoji23][emoji23]
Kumbe na mengine yapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila mtu na mtazamo wake.
Binafsi sense of humor kwanza mengine yanatafutwa.
Wanaume tafuteni pesa...
Msitake huruma huruma,kutoa Ni nature yenu,mwanamke kupokea ni nature yake.
Karma upite na huku MMU kumenoga
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji7]Nature yetu Ni kupewa na sio kuomba.
Mwanaume mwenye akili atajiongeza,pale anapotakiwa kutoa atatoa...msisubirie tuombe, mwanaume anayesubiri kuombwa hela atasubiri sana.
Wewe unatafuta ila Kuna wanaume Ni hasara,hawahangaiki na chochote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amen[emoji120]Hii ndiyo thread bora kwa mwaka huu 2020, mleta mada kanywe bia kiwango uwezacho nakuja kulipa
Na log off
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kupeana, kukiwa kunafanyika Both ways inapendeza zaidi.Toa mwaya kile kidogo cha upendo..
usimzoeshe kumpa hela..au kumpa kila baada ya muda..lets say week mbili,
hii routine siku huna pesa ita create tension between you..
.usitoe kiasi kikubwa sana mpaka mifuko yako itoboke...ukifanya hivyo utaanza kujichukia ama ku feel guilty ukipata ishu nyingine inayohitaji pesa,...
toa pesa ndani ya uwezo wako...
halafu sio mara zote utoe cash,,,
Unaweza kumnunulia hereni,perfume au kumtoa dinner...
Wanaume wengi hawajui,
wanawake sisi tunapenda kuonyeshwa tunajaliwa constantly,kama wao wanavyopenda sex constantly...
ukicheza na emotions zetu utafurahia pendo..LOL....
Chunguza ambao hawajoa au ma senior bachelor wengi utagundua ni MABAHILI..LOL
Ukiwa mtu wa kujitoa,huwezi kukosa mke...lol
Ukiona hupewi hadi uombe,you don't deserve. Btw kwanini upewe? Huna uwezo wa kutafuta zako?
Hii ni mada ya siku nyingine, jikite kwenye mada tafadhali.Huku kupeana, kukiwa kunafanyika Both ways inapendeza zaidi.
Wanaume wanapenda sana pale wanaposifiwa kitu halafu wakajibu ( mke/girl wangu ndio kaninunulia)
Tupende kupeana hata kwa kutumia pesa tulizopewa (kutoka kwa mwanamme) kumnunulia kizawadi. [emoji846][emoji846][emoji846]
Hii ni mada ya siku nyingine, jikite kwenye mada tafadhali.
Wao ndio wanataka haki sawa siku hizi halafu tukiwaambia wakaoshe vyombo wanaona wanadharaulika[emoji134][emoji134][emoji134]Mkuu swala siyo uwezo bali ni mgawanyo wa majukumu tu,, kwani hata mkeo anapofanya kazi za ndani wewe unakuwa hauwezi na kama unaweza kwanini umuachie yeye tu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kupeana, kukiwa kunafanyika Both ways inapendeza zaidi.
Wanaume wanapenda sana pale wanaposifiwa kitu halafu wakajibu ( mke/girl wangu ndio kaninunulia)
Tupende kupeana hata kwa kutumia pesa tulizopewa (kutoka kwa mwanamme) kumnunulia kizawadi. [emoji846][emoji846][emoji846]