Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Ni kweli mapenzi sio pesa ila mapenzi na pesa ni pande mbili za sarafu zinazotegemeana.Nimeona shoga,, kweli mwaka mpya na mambo mapya..
Sijui kwanini mie huwa naamini mapenzi siyo pesa,, au labda ni vile sipendi kuomba..
Sent using Jamii Forums mobile app