Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sawa kabisa ..Hakuna sehemu mtoa mada amepinga mwanamke kutafuta,.. amesema licha ya kutafuta kwake(mwanamke) lakini ameumbwa kupokea
Kiuhalisia kabisa na kibiblia(Naamini katika Biblia) mwanamke ameumbwa
Lakini pamoja na kufight kwake bado asili yake Ni kupewa na SI kutoa..
Mwanaume asili yake Ni mtoaji,provider,kichwa...
Mwanamke kutafuta pesa anafanya kwa mapenzi yake mwenyewe lakini siyo kazi yake.
Huko Pemba wako sahihi Sana...haya mabadiliko yamesababisha mwanaume kuanza kupoteza nafasi yake maana mwanamke anatoka kwenye nafasi Yake na kwenda kufanya katika nafasi ya kwanaume nadhani matokeo yake yanaonekana wazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumpongeze na kumshukuru aliekutana nae huko upotevuniMmhh basi huu mwaka uko na baraka mob sana,, kama hadi huyu naye.. [emoji2296][emoji2296]
Nahisi alivyopotea huko alikoenda alijitafakari,, akaona anatukosea sana.. [emoji2088][emoji2088]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mke anahudumiwa ila sio hivi vi slayqueen wannabeNaona habari za kufuga wamama hutaki😂 kabisaaa
Becky hivi ukijua mwanaume anapenda sex na ukatumia sex kupata unachokitaka kama hizo gharama za kila siku. Unakuwa na tofauti gani na mtu anayejiuza mwili wakeHaiwezekani kufanyika both ways,
Wanaume wanapenda sex
Wanawake wanapenda kuonyeshwa kujaliwa..
kuna exceptions for some though...
Kupokea kama ilivyo asili yangu japo sijawahi kuomba.Upo sawa kabisa ..
Position yako haswaa katika maisha halisi ni ipi
Unafurahi kupokea au kutoa na kupokea
Kwa nini unadhani wanawake 'WENGI' as you put it wanapendea wanaume pesa???
Wengi maanake ni majority..
Na ukishaona kitu persistent kinatokea kwenye jamii...mie huwaga nachukulia ni kama trait ama survival instinct.. LOL
ila ndio hali halisi,hata wanyama tuna share nao this instinct...
sijui niliona wapi,ila mnyama male yule aliye agressive ndio female wanawapenda, ni sign ya kuwa protective..female anafeel kuwa protected...na pia huyo mnyama anaweza kuleta resources bila kuuwawa na hivyo..watoto wa huyu female wana uhakika kukua........so hio protection/resources .kwetu wanadamu ni sawa na pesa...LOLSSSSSS.....
Mungu wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo sasa itabidi akae nyumbani afanye kazi za ndani ili kusudi mie nitafute pesa nimlishe yeye na watoto,, na akileta ujuaji naacha kumlisha namuambia akatafute zake..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yeah mwanzo nilikuwa namuona misogynist kama ambavyo yeye alikuwa ananiona feminist ila as time went by we mwenyewe si uliona vyenye tulianza kuelewana
Sent using Jamii Forums mobile app
So you're technically saying tutafute pesa and waste it on women? Sorry mate, that's a direct route to poverty and misery. Money/Wealth is the mission and women are simply bonuses not the main agenda.
Also, flossing with your woman means that you pedastalize her and that her value is higher than yours.. And this is not how you approach this things, let the woman floss with you, not the other way round.
You're the one with the money and value, not her so she should be the one flossing with you. All she has is a wet hole with great packaging, but she's still a bill you've got to foot.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we mtoto naomba usinichonganishe na kaka yangu kwanza nilivyommiss hivi hadi kuna siku nikamlilia,, hivi haukuona ule uzi wa sweetielee unahusu sijui kuingilia mahusiano ya watu..
Tulikuwa mimi cute b lizarazu na relief mirzska aise ile siku tulichat vizuri jamani hadi hawakuamini wakaanza kunishangaa eti kumbe naweza kuwa cool kiasi kile,, walikuaga wananiona mie ni mtu serious sababu ya yale magazeti yangu nikawaambia nahi nahi mimi ni mtu wa matani sana neno serious kwangu ni vocabulary na hata wewe unajua hilo..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] imbombo ngafu tena siyo kidogo,, mie mwanaume ambaye situmii pesa zake wallah jikoni tutaingia wote mimi nikipika yeye anaosha vyombo sitaki ujinga kabisa.. hataki tunakula mawe akichepuka haya akiniacha fresh,, I'm Okeeeeii with everything
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasoma thread wala hii post yako, ila naunga mkono hoja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu mbaya zaidi siyo kwamba hizo kazi hawaziwezi wanaziweza sana na kabla hawajaoa huwa wanazifanya ila wakishaoa huwa wanageuka vilema ghafla
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana tunasema pesa na mapenzi vinaenda sambamba.
Wanaume watafute pesa kama alivyosema lizarazu
Sent using Jamii Forums mobile app