Wanaume sasa tuacheni malalamiko na badala yake tuongeze juhudi kwani hakuna chochote kitakachobadilika

Wanaume sasa tuacheni malalamiko na badala yake tuongeze juhudi kwani hakuna chochote kitakachobadilika

Pesa muhimu na hata wanaume tunapenda pesa pia na ukitaka kulijua hili angalia wanaume wengi wanavyojiweka mbele ya wanaume wenzao wenye pesa. Yaani utaona tu kuwa kuna mvuto flani hivi na pia ukirudi hapo mwishoni, kulala ma wanawake wazuri hakuondolei madhaifu yako uliyonayo ila inakusahaulisha tu.
Mwisho wa siku kama hauna mvuto ni hauna tu na hao wanawake utakaokuwa nao hawatokufanya ujihisi kupendwa au kupata satisfaction emotionally. Utawekeza kwa wanawake lakini mwisho wa siku utabakia kupigana na acceptance
Lakini mwisho wa siku tunarudi pale pale pesa sumaku ya warembo. Hizo habari za kupendwa na emotional satisfaction ni chapter nyingine. Mwanamke anapenda baada ya kuwa amevutwa, sasa una mvuta na nini kama sio [emoji383][emoji383][emoji383][emoji383]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sio trick tu hii ya kuwavuta wadada..haiwezekani ukabadilika ghafla tuu.. nimekushtukia 😂😂😂😂👌
 
Lakini mwisho wa siku tunarudi pale pale pesa sumaku ya warembo. Hizo habari za kupendwa na emotional satisfaction ni chapter nyingine. Mwanamke anapenda baada ya kuwa amevutwa, sasa una mvuta na nini kama sio [emoji383][emoji383][emoji383][emoji383]

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapotumia material things kumpata mtu automatically kwake unakuwa kitu na unapoteza ile sense ya ubinadamu katika nafsi yake.
Real loyalty can't be bought, its only made by immaterial stuffs na mwanamke yoyote mwenye price tag ni changudoa ambaye hajaaamua kujipanga barabarani. Hawezi kuwa loyal, Ni nadra akupende mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanini? Dar kuna msoto mama usisikilize maneno ya watu wa mikoani kuna mkaka aliniambia huo msemo wa wanaume wa dar ulianzishwa na wanaume wa mikoani sababu ya kuambiwa kuwa wao ni washamba!
Yaani mtu ambaye hajatoka nje ya dar hasa mwanaume naonaga kama hajakamilika bado,hajaexperience maisha vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanini? Dar kuna msoto mama usisikilize maneno ya watu wa mikoani kuna mkaka aliniambia huo msemo wa wanaume wa dar ulianzishwa na wanaume wa mikoani sababu ya kuambiwa kuwa wao ni washamba!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume hata jembe halijui..
Purukushani za mikoani hawazijui..wanalijua tu joto la dar..
Nikipata mwanaume wa dar aliyekulia dar na hajawahi kutoka nje ya dar.. walahi nitampeleka mbeya hata mwezi mzima, Tena mbeya vijijini kwa bibi huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom