Wanaume sasa tuacheni malalamiko na badala yake tuongeze juhudi kwani hakuna chochote kitakachobadilika

Ukiona hupewi hadi uombe,you don't deserve. Btw kwanini upewe? Huna uwezo wa kutafuta zako?
 
Mapenzi sio pesa lakini pesa ni kichocheo kizur cha upendo.

Ukiwa huna mkwanja ni ngumu kua na stable relation....na hata mbwa wako anaweza kukung'ata pia Kama huna pesa maana utakosa mkwanja wa kununua ata dog meet [emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona hupewi hadi uombe,you don't deserve. Btw kwanini upewe? Huna uwezo wa kutafuta zako?
Siwezi kuomba,,,zaidi mtu akijisikia atanipa.
Uwezo wa kutafuta ninao Sana na sijawahi tegemea pesa ya mtu..napewa kwa sababu mtu ameamua kunipa ,pia kwenye maisha Kuna wakati changamoto zinaibuka zisizoeleweka..hizo zipo pande zote na katika case hizo mwanamke anaweza toa kumsaidia mwanaume...
Lakini katika mahusiano ya ndoa jukumu la kuprovide Ni la mwanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama mada inahusu walio kwenye ndoa
 
Sasa kama hadeserve kwasababu gani uko nae? Huoni unaidhulumu nafsi? Tutafute zetu zipi wakati hizo ndio zetu!!!!!!
Nafsi ya nani inadhulumiwa?
 
Zaburi inasema fedha ni ulinzi kama vile hekima. Kitu cha msingi tuwe na fair trade nakuhudumia nihudumie pia sio natimiza mahitaji yako then yangu yako pending hiyo mbaya sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama mada inahusu walio kwenye ndoa
Inahusu wote..

Dunia ya Sasa couples wanafanya tendo la ndoa kabla ya ndoa..

Kawaida inatakiwa mwanaume asimuingilie mwanamke kabla ya ndoa maana bado hajahalalishwa kwake.

Na ikiwa akafanya hivyo basi aende kwa wazazi wake akatoe mahari..haruhusiwi kumuacha huyo mwanamke maana keshakuwa mkewake..na inatakiwa amhudumie Kama mkewe maana mwanaume Ni provider


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…