Wanaume sio ATM!!!

Naona mpwa antaka kujibebesha mzigo asio uweza, si ndo maana tunataka kumsaidia yeye anakua mkali....!! Muulize nnavyomtunzia mama hamsini hamsini huku changarawe!!
 
Ila tuache masihara,

Mi mwanamke asiponichuna sijisikii raha!
 
Naona mpwa antaka kujibebesha mzigo asio uweza, si ndo maana tunataka kumsaidia yeye anakua mkali....!! Muulize nnavyomtunzia mama hamsini hamsini huku changarawe!!
Anakuwa mkali analazimishwa kuchunwa:laugh::laugh::laugh:
 
ayaaaa!!!!
hao walete huku bana!!
situmii ATM = waje kwenye container langu karibu na home......mm nazichapa naonyesha kila dalili za kuwapeleka, then ikifika saa saba, nazima! tuone kama hawatatafuta pikipiki (boda boda).
 
:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:
 
ayaaaa!!!!
hao walete huku bana!!
situmii ATM = waje kwenye container langu karibu na home......mm nazichapa naonyesha kila dalili za kuwapeleka, then ikifika saa saba, nazima! tuone kama hawatatafuta pikipiki (boda boda).

Ndo maana nakukimbiaga mapema lol!!
Intelijensia yangu inafanya kazi vizuri.
 
Kwa hesabu za fasta fasta hapo inabidi ATM utoe jiwe 5 hivi ili uwe huru hata unapo agiza.

Hivi demu siku ya kwanza tu anakuja na shangazi yake pembeni binamu yake alafu wanakunywa Heineken mazee
 
Lizzy labda wapo wamekaa Ki ATM zaidi ila jina kweli ni la kudhalilishana

Ndo na mimi nagundua kwamba wapo wanao sabababisha wenyewe FL....mtu unakutana nae tu anaanza kukuonyesha wallet!!!
 
sasa homu boyi we utanakubali kuitwa ATM? tuachie sisi tuliozoea bana!! tuna majina mengi sana..Hivi umenionea Love the Nurse?

Love yupo busy anaandaa chakula cha usiku hommie

Lakini kuchunwa ni uanaume sasa usipo chunwa si utakuwa unalelewa kama mtoto wa kiumeni
 
Ndo na mimi nagundua kwamba wapo wanao sabababisha wenyewe FL....mtu unakutana nae tu anaanza kukuonyesha wallet!!!

Ndo uanaume huo kukulisha na kukunyeshwa kisha kukulaza wewe ulitaka ufanye wewe hivyo? sasa nani atakuwa mwanaume?
 
Fynest...Fidel...Bigie na babu mzima Asprini nataka kuripoti abyuzi kwa uchakachuaji wa thread!!!Siku hizi hilo ni kosa la jinai na adhabu yake ni ban!!!!Msamaha utafikiriwa huku nikiendelea kupokea Thanks!!!:coffee:
 
Ila tuache masihara,

Mi mwanamke asiponichuna sijisikii raha!

Babu na wajukuu huyo....... unajua kuna kaukweli fulani hivi..wanaume ni bread earners for the family...na asipohudumia anajisikia kama kitu kimepungua hivi kwake. Na ndo maana wanaume wengi hawaoi wanawake wenye kipato kikubwa kuliko wao, why? ili yeye ndo aonekane muhudumiaji wa familia! Si kweli babu Asprin??
 
Ndo uanaume huo kukulisha na kukunyeshwa kisha kukulaza wewe ulitaka ufanye wewe hivyo? sasa nani atakuwa mwanaume?

Nataka nifanye mwenyewe!!!Nifanyiwe yote hayo ya nini wakati viungo vyote vya kufanya kazi nimepewa???:twitch:
 
Ndo uanaume huo kukulisha na kukunyeshwa kisha kukulaza wewe ulitaka ufanye wewe hivyo? sasa nani atakuwa mwanaume?

This is what I am talking....mwanaume hajiskii kukamilika kwamba yeye ni mwanaume asipohuhudumia....! So dada Lizzy..wewe unawatetea bure hawa jamaa....wanajiskia raha sana kuitwa ATM.....
 
Kwani nani kichwa cha familia?
 
LIZZY
Kwa maelezo yako huyo shoga alikuwa ni wewe. Sasa wewe umeshagundua kuwa kaka yuko serious anataka mahusiano ya kudumu na si ya kunyosha tuu viungo; kwa kulitambua hilo wewe umechukuliaje hiyo fursa; tayari mnafahamiana wewe tu ushindwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…