Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 833
Naona mpwa antaka kujibebesha mzigo asio uweza, si ndo maana tunataka kumsaidia yeye anakua mkali....!! Muulize nnavyomtunzia mama hamsini hamsini huku changarawe!!Hao watano kila mmoja anakula mnyama kilo moja jumla inakuwa kilo tano, halafu wanakunywa castle light si unajua ambavyo hazileweshi wanaweza kunywa hata kumi na tano kila mmoja kwa jumla ni castle light 45, halafu wawili wanakaa airport teksi hadi kule elfu 20 hao wengine watatu wanakaa Tegeta teksi hadi huko elfu 30 sijui jumla hapo bili inakuja shilingi ngapi mpwa