Wanaume sio ATM!!!

Wanaume sio ATM!!!

okei babu... yaani unasema..Hapuuk....si umesikia???, hebu rudia tena..Hapuuk! nafikri somo limeeleweka! kama bado itabidi nikija..nitapitia baadaye!
Nimekuelewa asee......nakusubiri

"Whoever claims to love God yet hates a brother or sister is a liar"
 
Nimekuelewa asee......nakusubiri

"Whoever claims to love God yet hates a brother or sister is a liar"

Sasa babu umeelewa nini sasa???!!! shule ya Happuch au hilo somo la kwenye sahihi hapo??!!!
 
Sasa babu umeelewa nini sasa???!!! shule ya Happuch au hilo somo la kwenye sahihi hapo??!!!
Nimeelwa hiki hapo chini. Nakihifadhi hapa kabisa manake huchelewi kubadili mawazo ukakinyofoa lol

The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:

Keren_Happuch (Today)

Na Dawa ya Moto ni moto mkali zaidi:

The Following User Says Thank You to Keren_Happuch For This Useful Post:

Asprin (Today)

Usisahau senksi moja ya babu ni sawa na mia za wajukuu.

Na mimi somo nimelielewa.....!!! Leo mimi tajiri wa senksi za babu..weee! tena nimezipata nyingi kweli asubuhi ....:coffee:!
 
Ni nzuri kabisa Kaizer..habari ya kwako? Je, na wewe wafurahia kuwa ATM kama babu yangu Asprin???

ya kwangu sio mbaya, ipo 90% hizo 10% ndo umezikamilisha hapa....ila kwen ATM hapo natofautiana na babu, yaani kuna wengine wanao multiple partners wanawaita 'vidumu'....

so for me I can do everything within my capacity....knowing there is mutual respect and understanding....
 
ofcos....my point ni kwamba wanaume wanajiskia vizuri wakiwahudumia wapenzi wao! Pia sikubaliana kwa multiple partners.... nafikiri hata babu yangu Asprin, anamhudumia bibi yetu mmoja tu!
 
ofcos....my point ni kwamba wanaume wanajiskia vizuri wakiwahudumia wapenzi wao! Pia sikubaliana kwa multiple partners.... nafikiri hata babu yangu Asprin, anamhudumia bibi yetu mmoja tu!

Yaani Keren UNAFIKIRI au una uhakika?

Babu anamhudumia bibi yenu mmoja tu! na kudumisha mila na wajane kama inavyotupasa....hapa wajane ni wale wasiokua na wenza wao wa kuwapeleka kileleni.
 
ofcos....my point ni kwamba wanaume wanajiskia vizuri wakiwahudumia wapenzi wao! Pia sikubaliana kwa multiple partners.... nafikiri hata babu yangu Asprin, anamhudumia bibi yetu mmoja tu!

Hapo ndo 'unapokosea' Karen.....LOL

Ni kweli, its our natural duty I would say...but nowadays it is being abused.....
 
ofcos....my point ni kwamba wanaume wanajiskia vizuri wakiwahudumia wapenzi wao! Pia sikubaliana kwa multiple partners.... nafikiri hata babu yangu Asprin, anamhudumia bibi yetu mmoja tu!

See?:usa2::usa2:

Yaani Keren UNAFIKIRI au una uhakika?

Babu anamhudumia bibi yenu mmoja tu! na kudumisha mila na wajane kama inavyotupasa....hapa wajane ni wale wasiokua na wenza wao wa kuwapeleka kileleni.

better learn to 'live with it' LOL
 
Hapo ndo 'unapokosea' Karen.....LOL

Ni kweli, its our natural duty I would say...but nowadays it is being abused.....

Sasa hommie ndo unaamua kuniharibia mazima au?
 
Hii mtindo wa kuwaita wanaume ATM unawaboa sana kusema ukweli...hata mimi kama mdada siufagilii.Achili mbali huwaita hata kuwatumia kama ATM nayo inatufanya wadada tunadharauliwa wakati mwingine.

Kuna marafiki zangu wawili niliwatambulisha wiki chache zilizopita.Mkaka wa watu akawa amedata haswa....kila saa kumuulizia binti.Kiukweli kaka alikua anataka mahusiano yanayoeleweka na sio kuchezeana.Wakakutana mara mbili tatu mkaka akaendelea kudata.

Siku ya siku kaka akamwalika mdada chakula cha jioni ali wapate muda wa kuongea kidogo...mdada akaja na shoga yake.Yule kaka akaboreka ila akapotezea tu.Hata akijaribu kuongea na mambo ya maana mdada akili yote kwenye mambo ya starehe tu...nayo akapotezea.Alipokuja kuharibu ni kuanza kuulizia vocha...tena kwa kudemand....yani yule kaka alichoka.Kwasababu kumpigia hampigii...akitaka kuongea nae anaweka utoto mwingi ila wakati akitaka lift na vocha ndo haishi kubeep apigiwe.
Yule kaka alikuja kuniambia yule rafiki yako kwakweli nimemshindwa.Naweza kuelewa kwamba bado hajaweka maisha yake kwenye mstari ila atleast angekua anaonyesha nia badala ya kushinda akiomba pesa ningempa muda.

Newayz nnachojaribu kusema hapa ni kwamba wadada fanyeni kazi...na hata kama huna sio mtu hata bado hamjawa karibu sana tayari umeshaanza kua omba omba.Unajipotezea mwenyewe bahati....mwanaume mwenye nia anataka mwanamke mwenye nia na anae eleweka!!Acheni kuwatumia wakaka wa watu...mpende kama umempenda na sio kumendea vijisenti vyake alivyotolea jasho!!!

Nawakilisha!!!

Sasa na wewe Lizzy unamtambulisha rafiki yako kwa changudoa halafu unatarajia changudoa asifanye kazi yake?
 
Sasa na wewe Lizzy unamtambulisha rafiki yako kwa changudoa halafu unatarajia changudoa asifanye kazi yake?
Jamani alitaka mwenyewe...siwezi kuzibia watu bahati zao!Bora washindwane wenyewe!Alafu sio C bwana..hajatulia tu!
 
Jamani alitaka mwenyewe...siwezi kuzibia watu bahati zao!Bora washindwane wenyewe!Alafu sio C bwana..hajatulia tu!
Lizzy nataka wikiendi hii niwe ATM yako ila kwenye kuweka tu sio kutoa ya kwangu imeruhusiwa kuweka tu.
 
Jamani alitaka mwenyewe...siwezi kuzibia watu bahati zao!Bora washindwane wenyewe!Alafu sio C bwana..hajatulia tu!

Au ilikuwa design ya kupotezea pengine alikuwa anakutaka wewe!
 
Kipipimoyo mambo!!!!!!
Hivi TF mbona hutaki nitoke ? nimechoka kuwa undagraundi Lizzy muone kama polisi wa Arusha vile,sawa ?

Poa kabisa dearest..vipi wewe?!Bia inapunguza mawazo bwana!
Inabidi unywe kuanzia 2-3 miaka ya nyuma nilimualika demu mmoja mdogo wa umbo bar akaagiza safari kichwani nikasema ookaay,alipoagiza ya kumi na bado hajalewa nikasema nanunua vocha hapa nje nikatokomea lol!
 
Lizzy nataka wikiendi hii niwe ATM yako ila kwenye kuweka tu sio kutoa ya kwangu imeruhusiwa kuweka tu.

Kabla sijaanzisha hii thread ningekubali!Sasa hivi nimejifunza kuchuna na mimi!Lolz...kwahiyo kama huna kitu kaa pembeni mchumba wa muda!
 
Au ilikuwa design ya kupotezea pengine alikuwa anakutaka wewe!

Mshkaji wangu wa muda sana..kunitaka is not an option!Bidada kweli ni kazi kwa watu ambao wapo siriaz na maisha..hilo hata mimi najua!!
 
Back
Top Bottom