Anafaa kuwa mama angel...Naona unahekima za kuwa mke mwema
Anhaaa, basi endelea kuwa na moyo huohuo.stop over thinking please..!
what you see is exactly what is supposed to be,
Nothing less, Nothing more..!!
Mwanamke atajishusha pale Mme anayejielewa, sababu unaweza jishusha na mambo yakazidi kwenda hovyoKwani mwanamke akigundua mwanaume anapungukiwa mamlaka kwanini asijishushe ego yake ipoe ya Nini kuanza kijipaisha wkt anajua hawezi ku control Hiyo nguvu ya mamlaka
Hilo ni kweli kabisa, inakuwa kama kulipa si alikuwa ananifanyia hivi acha nipumue, hapo ndipo mwanaume anapoanza kulalamika mke kabadilika, ukifuatilia kiundani sababu ni yeye mwenyewe kamshika kipofu mkono wakati wa kulaUnayksema ni kweli. Lakini nafikiri matatizo yanaanzia mbali kabisa. Kwenye ile courtship na uchumba na mahusiano beforr ndoa ndo wengi wanapokosea.
Unapopata mwanamke, hata kama alikua na watu wengine befor you, ni muhimu kuformat hard disk ya akili ake na uweke ambayo inaendana na utaratibu wako. Carleen amesema ukweli, wanawake hawakuumbwa kuweza kucontrol power kubwa. Hivo ni jukumu lako kama mwanaume kumuonyesha njia inayopasa kufuatwa ndani ya maisha yenu. Mwanamke anaejielewa lazima atafuata, na pia ukimpa room for improvement mtatengeneza utaratibu mzuri sana unaofaa ndani.
Shida n kwamba tukipata mwanamke submissive tunavimba kichwa na kusahau kumtreat kama binadam na mpenz, tunaanza kumtreat kama kijakazi. Lazma akipata nguvu alete kisebengo kikali.
But mwanaume akiweza kusimama na kumuonyesha mwanamke kua yeye mwanaume ni kiongozi na mkewe ni msaidizi wake, they all make a great team
Ha ha ha ha kila raheri.Siku nikipata hela naoa....[emoji16]
Hapo utasikia pesa zinampa kiburi wakati ulimpa heshima zote akazikanyaga mwenyewe, tupa kule!Dha, umenigusa sana. Mimi ni mwanamke submissive na kwa kipato Nipo vizuri mno. Nilimuheshimu sana ex wangu mpaka na magoti kwa heshima zote. Kumbe yeye akaniona zamwamwa [emoji28][emoji28] alikuwa ananidharau, kunitukana etc . Nilipochoka hakuamini aliyoyapata. Tujifunze kuto take people for granted.
Muache bilionare wife wako na pesa zake,usionyeshe udhaifu wala usikubali kusaidiwa majukumu,
Kabisa mkuu.Mungu atatusaidia tu tutakuwa watoto wema..!! Japo ubinadamu nao siyo rahisi.!
Huyo alikua hajiamini, wanaume wwngi waliozidiwa kipato huwa hawajiamini na hiyo ni kama defensive mechanism ili usijponyoka.Dha, umenigusa sana. Mimi ni mwanamke submissive na kwa kipato Nipo vizuri mno. Nilimuheshimu sana ex wangu mpaka na magoti kwa heshima zote. Kumbe yeye akaniona zamwamwa [emoji28][emoji28] alikuwa ananidharau, kunitukana etc . Nilipochoka hakuamini aliyoyapata. Tujifunze kuto take people for granted.
Mdogo wangu you're so smart,Wale wote ninaowapenda kuanzia ndugu/marafiki/mke/wazazi,nk hawawezi kujua kama nawapenda wala kuhisi
hisia zangu zinabaki moyoni huwezi ziona mpaka ninapoamua kukufanyia jambo ndipo utakapojua namna nakupenda.
Mke/Mpenzi wangu nipo nae kama simtaki hivi,kama yani anytime naeza move on nikatemana nae nikafanya yangu
but "ndani ya moyo siruki sikukuruki", hii formula yangu ya kuwa undifined humfanya mwanamke asijaribu hata siku 1 kutingisha kiberiti.
Mnapokua ndani ya ndoa/mahusiano mwanaume unatakiwa uwe kama baba sio kutilia huruma,hata mwanamke akuzidi kipato mara 100 kama mwanaume utafata yako na kuachana na pesa za wife, hakuna mwanamke wakukugeuza kibenten.
mwanamke anaingiza 5m per month, mwanaume unaingiza 1m per months, Hutakiwi kuwa mnyonge, asubuhi acha pesa ya matumizi,lipia watoto ada,nk nk,yani hela ya mwanamke achana nayo.
Ukipata shida,usije lia lia kwa wife Komaa huko huko unakotaftia ile 1m yako upate pesa utatue matatizo yako, ukirudi home pigia simu wanao waulize vipi ule mchongo,vipi ile pesa,nk Mbele ya wife wako.
wife akiskia atakua hakuelewi atahisi mume wake una mipesa zaidi yake,kumbe ile pesa unayo uliza wanao ni (buku 5 tu)
Ki ufupi wanaume kukoromewa ndani ya nyumba kutawaliwa na wake zao shida ni wao wenyewe,wanaume wengi wakihisi wana date na wanawake wenye pesa hujigeuza omba omba,kila mishe inayotaka hela lazima amlilie mke/mpenzi wake.
mwanamke atakupa atakupa atakupa ila kuna wakati utafika ataanza kujiona kumbe yeye ni kidume ana provide kila kitu ndio hapo dharau zinapoanza,ataanza tingisha kiberiti na mwisho tabia inakomaa anageuka mwamba,mwanaume anabaki jina uanaume kushnei.
Wanaume jifunzeni ku balance shobo kwa wake/wapenzi zenu na zaidi mjikite ktk ku provide kwao yale mahitaji yao ya muhimu bila kujali wana pesa au hawana,ukiwa hivyo hakuna mwanamke atakubenulia momo kisa anapesa.
wanaume wanaotetemekea wanawake wenye pesa matokeo yake ndio hayo,ukicheka na nyani lazima uvune mabua,Mwanaume kaumbiwa mamlaka/kutawala/kumiliki/kuongoza,nk
Hakunaga mwanamke anae ibuka tu vuuup anakuwa juu yako tabia inaanzaga kama uyoga,the more anaona huna respond yyte katka anayokufanyia ndio zaidi tabia yake mbovu inazidi kukomaa.
Wanaume kuweni wanaume,kulia lia na kutatuliwa shida zenu (hasa zile kubwa) na wanawake/wake zenu kila mara ndio matokeo yake mnageuzwa ke.
Mwanaume umeumbiwa mapambano tena ukiwa na mwanamke ana pesa ndio shobo acha kabisa na pesa zake,Out mpeleke wewe sehemu unayotaka sio anayotaka yeye (kisa ana pesa) "be a man".
Wanapokusaidia mwanzo hukupa pesa kama hawataki,utaskia wakikubembeleza kabisa uchukue ni kawaida, Mianaume milofa inapokea inaona mtelezo si huu (makosa hayo) huyo ni mkeo,hizo ni pesa zenu japo zipo kwake,akikupa usizichukue.
kapambane huko mbele kwa mbele ukipata matatzo atakuja kuyatatua matatzo kwa pesa zake ila ni kosa la jinai kupokea msaada toka kwa mke/mpenzi ile live live,inaanzaga taratbu baadae mwanamke anaona hili boya nimelioa tu.
Wanaume badilikeni,upendo wenu ubaki mioyoni mwenu
shida zenu zibaki mioyoni mwenu
mateso yenu yabaki mioyoni mwenu
Muache bilionare wife wako na pesa zake,usionyeshe udhaifu wala usikubali kusaidiwa majukumu, Hata aje umuoe mama SSH kamwe hawezi kukubetulia mdomo maana anakujua how fighter you're.
Mwisho niseme tu,wanaume tumeumbiwa mateso,Atae elewa na aelewe.
Naaaaah,, it was a message that,, don't play with fireyou're so bad..!
Ubarikiwe,Unaoa mwanamke aliyekuzidi pesa na elimu ili ugundue nini kama sio umarioo, oa Saizi yako unayemmudu, kama mtoa Mada ulivyosema wanawake hawakuumbwa kumiliki power japo wanayo tena Mungu kawapendelea power kubwa kuliko mwanaume ila power hiyo ni passive kwa ajili ya kumsaidia mwanaume ndio maana akaitwa msaidizi, mwanaume Ana power kiasi ila ni active, kwa hiyo mwanamke akiwa active ni Sawa na kubadili jinsia hata umkumbushe majukumu yake ni kazi Bure ni Sawa na umeoa shemale.
All men are,, but what ladies do is change the beast to a more civilised being,, if you'll prove the change is not worth it,, we'll treat you just like another prey for lunchJezuz..!
So, you are the fire..?
Ndiyo maana unawavimbia...Ukijishusha napo mwanaume anakuona kolo....bas ni shida tu