Wanaume suruali!

Alafu wengine hata hamchangii mnachakachua tu???
Ngoja niwaanzishie thread na nyie!:bored:
Lizzy aisee nakupa offer kesho twende usiku wa khanga moja pale Club Continental
 
Kwahiyo wapi huwa hamna wanaume suruali? na wanawake ndevu?

Silver?
Club Continental?
Villa Park?
Muleba (my favourite!)?

Kyabushaija; Bomoa bomoa imeharibu mkuu, Lakini bado masai amekomaa teh teh teh...
 
Alafu wengine hata hamchangii mnachakachua tu???
Ngoja niwaanzishie thread na nyie!:bored:

Kazi na dawa Lizzy; unachangia halafu unachakachua kidogo
 
Lizzy aisee nakupa offer kesho twende usiku wa khanga moja pale Club Continental

Khanga moja wakati mume yuko safarini?Sitaki kuwaweka mashemeji zangu majaribuni.
 
Pole sana dada Lizy, kiukweli inauma sana lakini nataka nikwambie kitu kimoja jaribu kufahamu mtu unayetaka kuwa naye rafiki ana character gani? Hakikisha unamjua vinginevyo wapo wanaume wenye tabia hiyo. Vile vile chunguza watu wanaotaka kuwa karibu nawe, wanataka kwa sababu gani? Ni bora ukaonekana mbaya, unaringa lakini umeji defense.
Sifa za wanaume wa aina hiyo ni waoga, wasiojiamini na mwisho wasiojua kukabiliana na majibu endapo wamejaribu. Huona aibu kukataliwa wakati kukubali nako uamuzi wa mtu, hivyo huishia kupakaza mbovu.
 
uko sawa mkuu yaonekana anahukumu upande mmoja,sijui kama kawauliza hao walengwa kujiridhisha na aliyoyasikia.
 
Mzee wa rula asante kwa ushauri mpendwa!Kawaida yangu ni mkimya..au kama wanavyosemaga watu naringa!Sasa nao kuwachekea kuna madhara zaidi kwahiyo narudi nilipotoka...ntaringa mpaka wanishangae!
 
Mzee wa rula asante kwa ushauri mpendwa!Kawaida yangu ni mkimya..au kama wanavyosemaga watu naringa!Sasa nao kuwachekea kuna madhara zaidi kwahiyo narudi nilipotoka...ntaringa mpaka wanishangae!

Bora uringe mwaya maana hakuna jema.
 
Lizzy consider yourself lucky at least unapakaziwa,kuna wana wa adamu hapa duniani hata bahati ya kupakaziwa hawaipati-just for a second put yourself in their shoes and thank god
 
wasameheni watoto wa wenzenu jamani lol....ni utoto tu na wakikua wataacha
 
Lizzy consider yourself lucky at least unapakaziwa,kuna wana wa adamu hapa duniani hata bahati ya kupakaziwa hawaipati-just for a second put yourself in their shoes and thank god
Hahahahaha!SoA kumbe kupakaziwa nako ni bahati ehh?Ngoja nijione mwenye bahati basi!
 
wasameheni watoto wa wenzenu jamani lol....ni utoto tu na wakikua wataacha
Carmel miaka yote hiyo hawajukua ndo waanze leo?Walikua wapi wakati sisi wadogo zao tunakua ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…