Elia
JF-Expert Member
- Dec 30, 2009
- 3,425
- 568
Usikose kesho
Yes, Saved as ... Important occation
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikose kesho
Lizzy aisee nakupa offer kesho twende usiku wa khanga moja pale Club ContinentalAlafu wengine hata hamchangii mnachakachua tu???
Ngoja niwaanzishie thread na nyie!:bored:
Kwahiyo wapi huwa hamna wanaume suruali? na wanawake ndevu?
Silver?
Club Continental?
Villa Park?
Muleba (my favourite!)?
Alafu wengine hata hamchangii mnachakachua tu???
Ngoja niwaanzishie thread na nyie!:bored:
Lizzy,
Hivi wewe umefahamu vipi au una uhakika gani kwamba Mr.X and Mr. Y ndiyo wansambaza haya maneno:-
"..fulani niko nae.."
".. fulani nimetembea nae.."
"..fulani namjua sana kafanya hili na lile.."??????
Kwa taarifa yako tu.. Kama umeambiwa na Mwanaume mwingine (Mr. Z) ku Mr. X or Mr Y anakusema hivi na hivi, fahamu fika kuwa huyo Mr. Z anatumia hiyo kama "gear" ya kukutongoza au kama umeambiwa na Mwanamke (Ms A) fahamu fika kuwa anataka "kukuzibia riziki"!
It is very SAD kwamba Msichana anapokuwa kwenye urafiki wa "kawaida" na Mr.X or Y, Mr. Z na wengineo ambao walishawahi kukataliwa huwa wanajisikia vibaya to the extent ya kuanzisha propaganda kama hizo ulizoziandika, ili mradi tu waharibu regardless. Also kwa wanawake wengine ambao siyo "likeable" kama Ms A, huwa wanajisikia vibaya sana kuona Lizzy anakuwa na urafiki na wanaume regardless.
My Advice: Acha kusikiliza UMBEA wa mtaani, kwa maana hata Papa Paul II aliwahi kusema kuwa "Stupidity is also a gift of God, but one mustn't misuse it
Mzee wa rula asante kwa ushauri mpendwa!Kawaida yangu ni mkimya..au kama wanavyosemaga watu naringa!Sasa nao kuwachekea kuna madhara zaidi kwahiyo narudi nilipotoka...ntaringa mpaka wanishangae!
Hahahahaha!SoA kumbe kupakaziwa nako ni bahati ehh?Ngoja nijione mwenye bahati basi!Lizzy consider yourself lucky at least unapakaziwa,kuna wana wa adamu hapa duniani hata bahati ya kupakaziwa hawaipati-just for a second put yourself in their shoes and thank god