Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimegundua Lizzy anapenda kucheza kiduku na makhirikiri angalia utakomaa visigino hivyo ukawa unachana shuka za husband
Mhhh kinywaji gani hicho???Huku kwetu tumezoea mbege na gongo!!
Mhhh imetulia!!
Hehehe....unalo wewe!!
Ngoja nikamchambue mshkaji sasa!!!Nikirudi zamu yako!
Eti Lizzy... hivi mzee wa busara ni mwanaume gani??Mwanaume pochi ndo la heshima!!!
Mi nimemjibu yeye kuendana na matakwa yake.
Kiwango changu siwezi kukiweka hadharani ili siku nikatafuta mchumba humu visharobaro visiniletee usanii!
Mhhh kinywaji gani hicho???Huku kwetu tumezoea mbege na gongo!!
Mhhh imetulia!!
Hehehe....unalo wewe!!
Ngoja nikamchambue mshkaji sasa!!!Nikirudi zamu yako!
hehehe dah!Nimegundua Lizzy anapenda kucheza kiduku na makhirikiri angalia utakomaa visigino hivyo ukawa unachana shuka za husband
Mi nashindwa kuchangia hii sredi....
Eti ni yupi afadhali:
Mwanaume suruali au Mwanaume sketi?
Afazali mwanaume pochi kama Lizy alivyosema haijalishi anavaa suruali au sketi!!Mi nashindwa kuchangia hii sredi....
Eti ni yupi afadhali:
Mwanaume suruali au Mwanaume sketi?
Kaka yaani nimcheka mpaka basi, na uzuri leo mkoloni hayupo azawaiz:love::love:
hehehe mwalim wangu wa jiografia aliniambia mwanamke akisema zamu yako basi kaa mkao wa kula, kuna neema inakuja. tusemeni amen.
Tatizo unacheka afu unasahau kale kakitu ketu....mwone kwanza.
Lizzy ananichanganya bana, sijui anataka tuvae sketi tuitwe mashoga? Mi ntabakia dume suruwale, bila kujali chochote ili mradi baioloji yangu inafanya kazi.
Nakuja nikulike alafu nikimaliza ntakuthank....endelea na Fide mwana TTC!
Fidel unajua alhamisi ni public holiday kwahiyo pale Tip Top panahusika sana kwenye mjengo watu wanaanza na supu ya mtetea
Ahaaa ahaaa Elia taarifa zako za ki-interijensia nimezikubali aisee inahusika sana popote muhimu mawasiliano mkuuThe Finest; Savanah, lunch time au ???? Nibonyeze ni dandie msafara