Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Unajua hii tabia ikajengeka washikaji kibao kwa wale watoto wagumu kuingilika wakawa wananitumia mm ili kusawazisha mambo nikaona ujinga wenzangu wanafaidi mm kazi kumeza mate aaah wapi nikawa nalainisha njia kwanza mm kisha namwita aanze upya kutongoza.
We dogo unanifurahisha sana comments zako, watu wanakua serious wewe ...........
your choice is my command. halaf sjui kwanini mapenzi ukiyaongelea kwa kiingereza yananoga?, mimi nazani hili lugha la kiswahili limekaaa kiuadui adui tu. (hii itakuwa ni sredi yangu inayofata)
Hajatangaza Lizzy ila alikuwa anaota huku anaongea.
Kwani hujawahi ona mtu anaota huku anaongea au anatembea kabisa huku anaota?
Yaelekea wewe Lizzy mzuri alafu mtamu ehee?
Marytina hawa kaka zangu nawapenda sana kwahiyo siwezi kuwakashifu hata siku moja...ila wakikosea stepu nawapaka live bila chenga![/QUOTE]
Akikosea mweleze ajirekebishe asirudie tena next time kwako au kwa wengine
Hili dongo, watu muache kwenda PM, mnaona sasa hasara zake..!!Sijawahi kuwachukia wanaume wote kama kundi...ila kuna baadhi wenye tabia za ajabu ajabu nawachukia sana.Hawa ni wale wenye maneno mengi....ya ukweli au ya uongo...mwanaume akishaanza kutumia maneno kupata attention tayari anafaa avalishwe sketi.
Nimejikuta nashangazwa na watu wawilii wa aina hiyo kwa mpigo....nikajikuta najiuliza inakuaje mpaka mtu anaanza kwenda kusambaza maneno ya fulani niko nae...fulani nimetembea nae...fulani namjua sana kafanya hili na lile wakati sio hua
inasabishwa na nini zaidi ya utoto...ushamba na ujinga:???Yani nimeboreka!!
Nwyz kama kuna wa aina hiyo humu embu nifungueni macho alafu muache hiyo tabia!
Hivi ndugu tuko... huyo sungura wako hakojoi tu?? mbona atamuua huyo sungura jike kwenye avatar?? au dnio sungura dume kiu kumoyo?Kama ni kweli akisema kuna ubaya gani?
Ni aibu sana aisee
btw, hivi kuna wanawake ndevu?
khaaaa! lunch cancelled.Hamna bwana....hata kiswahili kinapendeza mradi kitolewe kwa sauti nzuri!!!
Haya mpenzi mi nataka twende kwa yule mama ntilie wa pale Kariakoo ana wali mzuri kweli!!!
Fidel mbavu zangu
kwa hiyo we hodari wa kutongoza unakwenda peku maana ni wengi hao
hii njemba yako ikituona mama ntilie si itaenda kuuza gazeti? halaf hapa JF jamaa wanajua mimi ni selebriti flani tu ambae natembea na mwevuli ili nispigwe na jua.Mhhhh kwanini tena mpenzi?
hii njemba yako ikituona mama ntilie si itaenda kuuza gazeti? halaf hapa JF jamaa wanajua mimi ni selebriti flani tu ambae natembea na mwevuli ili nispigwe na jua.
Hahahaha poa braza mambo vp lakini?
Kwani Belinda mtu akisema ameshafanya na wewe mapenzi, ni kukudhalilisha? Mapenzi si kitu kizuri, au?
Hivi wadada katika stori zenu hampeani stori kuwa, 'mwanaume fulani tayari nilishaenda naye', 'boss fulani tulishaenjoy malavidavi', 'yule dereva mtamu sana aisee',n.k? l.o.l
hii njemba yako ikituona mama ntilie si itaenda kuuza gazeti? halaf hapa JF jamaa wanajua mimi ni selebriti flani tu ambae natembea na mwevuli ili nispigwe na jua.
Lizzy,
Hivi wewe umefahamu vipi au una uhakika gani kwamba Mr.X and Mr. Y ndiyo wansambaza haya maneno:-
"..fulani niko nae.."
".. fulani nimetembea nae.."
"..fulani namjua sana kafanya hili na lile.."??????
Kwa taarifa yako tu.. Kama umeambiwa na Mwanaume mwingine (Mr. Z) ku Mr. X or Mr Y anakusema hivi na hivi, fahamu fika kuwa huyo Mr. Z anatumia hiyo kama "gear" ya kukutongoza au kama umeambiwa na Mwanamke (Ms A) fahamu fika kuwa anataka "kukuzibia riziki"!
It is very SAD kwamba Msichana anapokuwa kwenye urafiki wa "kawaida" na Mr.X or Y, Mr. Z na wengineo ambao walishawahi kukataliwa huwa wanajisikia vibaya to the extent ya kuanzisha propaganda kama hizo ulizoziandika, ili mradi tu waharibu regardless. Also kwa wanawake wengine ambao siyo "likeable" kama Ms A, huwa wanajisikia vibaya sana kuona Lizzy anakuwa na urafiki na wanaume regardless.
My Advice: Acha kusikiliza UMBEA wa mtaani, kwa maana hata Papa Paul II aliwahi kusema kuwa "Stupidity is also a gift of God, but one mustn't misuse it
Mi kazi moja tu kulainishanjia jamaa si anataka akifika yeye ni kulenga tu