Lizzy,
Hivi wewe umefahamu vipi au una uhakika gani kwamba Mr.X and Mr. Y ndiyo wansambaza haya maneno:-
"..fulani niko nae.."
".. fulani nimetembea nae.."
"..fulani namjua sana kafanya hili na lile.."??????
Kwa taarifa yako tu.. Kama umeambiwa na Mwanaume mwingine (Mr. Z) ku Mr. X or Mr Y anakusema hivi na hivi, fahamu fika kuwa huyo Mr. Z anatumia hiyo kama "gear" ya kukutongoza au kama umeambiwa na Mwanamke (Ms A) fahamu fika kuwa anataka "kukuzibia riziki"!
It is very SAD kwamba Msichana anapokuwa kwenye urafiki wa "kawaida" na Mr.X or Y, Mr. Z na wengineo ambao walishawahi kukataliwa huwa wanajisikia vibaya to the extent ya kuanzisha propaganda kama hizo ulizoziandika, ili mradi tu waharibu regardless. Also kwa wanawake wengine ambao siyo "likeable" kama Ms A, huwa wanajisikia vibaya sana kuona Lizzy anakuwa na urafiki na wanaume regardless.
My Advice: Acha kusikiliza UMBEA wa mtaani, kwa maana hata Papa Paul II aliwahi kusema kuwa "Stupidity is also a gift of God, but one mustn't misuse it