Wanaume tabia hii ya asili inawaumiza wanawake(hit and run)

Ikisha hit unaanza kusikia baby nahitaji Samsung, sijui kodi ya nyumba, sijui matumizi chuoni....
Kwa nini isisepe
 
me ninaamini wanawake ndo wanaumia


Kwa kiasi fulani ndio lakini miaka hii wana hit kwa kutafuna atm 🏧 yako then wana run. Zamani mwanamke asipokupenda hupati penzi hata, miaka hii aweza asiwe na hisia lakini akiona uchumi wako uko vizuri ata hit hadi ahakikishe huna kitu then asepe...
Kwa hiyo madhumuni ni tofauti lakini mwisho wa siku kila mtu ana njia zake.
 


Wazo zuri sana binti, ila linagusa true love pekeee. Kwa hali ya sasa 98% ya wanaume tunawqza kuhit na kusepa si kuweka kambi jumla. Tunafikia mbali zaidi na kugawa namba za simu kwa mwenzio ili naye agonge.
 
Last edited by a moderator:
Dadangu Vitaimana punguza hasira hao jamaa hawajakugusa moja kwa moja. Tujifunze kuvumiliana. Mjadala mzuri kama huu alioanzisha mwekundu twaweza uvuruga kama tutaanzisha matusi.
 
Last edited by a moderator:

Hakika u have a point
 

Dada kweli bado hujawafahamu wanaume. Hit &run men don't give a damn!!
 
Last edited by a moderator:
Ikisha hit unaanza kusikia baby nahitaji Samsung, sijui kodi ya nyumba, sijui matumizi chuoni....
Kwa nini isisepe
ha ha ni kweli to some situations ila wengine wako poa tu ila unakuta jamaa linasepa speed 100%
 

Ila ni wachache sana wanaume watakaosema naomba unirudishie gharama za nyumba niliyokupangishia,au samsung yangu,au Iphone yng etc tunaugulia ndani kwa ndani economically tofauti na hawa wenzetu tunakua tunawaumiza kihisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…