Wanaume tabia hii ya asili inawaumiza wanawake(hit and run)

Wanaume tabia hii ya asili inawaumiza wanawake(hit and run)

Ikisha hit unaanza kusikia baby nahitaji Samsung, sijui kodi ya nyumba, sijui matumizi chuoni....
Kwa nini isisepe
 
me ninaamini wanawake ndo wanaumia

Kwa kiasi fulani ndio lakini miaka hii wana hit kwa kutafuna atm 🏧 yako then wana run. Zamani mwanamke asipokupenda hupati penzi hata, miaka hii aweza asiwe na hisia lakini akiona uchumi wako uko vizuri ata hit hadi ahakikishe huna kitu then asepe...
Kwa hiyo madhumuni ni tofauti lakini mwisho wa siku kila mtu ana njia zake.
 
mi nafikiri sababu kubwa ya hit and run

1.KUTOKUZUNGUMZA AU KUTOKUWA NA MAWASILIANO YA WAZI BAINA YA WENZA mi huwa naamini mpaka mtu akufate basi amekupenda au mpaka mtu aombe gemu basi amekupenda lakini hii tabia ya wenza kuwa mabubu ina kost

mnaingia kunako viwanja vya mautamu hakuna anaesema lolote mwanamke anasubiri umvue nguo uingize umpe ela akafue chupi

mwanaume the same applied anasubiri kama hata angalau unaeza mpa blowjob HAPO AONGEI ANAKUA ANAWAZA NA KU IMAGNE TU KWAMBA MIUJIZA ITATOKEA mwisho wa siku kila mtu anatoka pale lakini mwanaume anasema hapana huyu mwanamke ni sura tu lakini hajui lolote ngoja hata ni tafute malaya

maana trust me kinachofanya mwekundu unitongoze ni nini kama sio making love????? maana unakuuta kila mtu ana uwezo wake lakini iweje muungane au muishi pamoja ni kwa sabbu ya mapenzi

ila sasa KUNA WANAWAKE KUKWAMBIA NAOMBA ELA YA SALUNI WALA AWAZI MARA MBILI ILA KUKUULIZA NIKAAJE ILI UMPATE JOJINA VIZURI WAKATI WA MECHI HAJAWAHI HATA KUWAZA KUSEMA HIVYO HATA SIKU MOJA

NA HII SIO KWENYE MAKING LOVE TU pia katika mambo mbalimbali ya kawaida

unakuta mwanamke kumwambia mwanaume sipendi ukila uwe unabonyeza sim anaona kama nitamfanya akimbie au mambo yanayofanana na hayo

katika hili KWA WANAWAKE ili kuepusha hili unavyokutana na mwanaume kwa mara ya kazi kazi yako ni moja tu KUMTENGENEZEA MAZINGIRA ILI UWE HURU KUZUNGUMZA NAE

NAWANAUME USIWE RIGID ongea na mwenzako UTARUKA MPAKA LINI?????? au mpaka ukutane na yenye meno??????

2.stress za maisha ikiwemo pesa hapa ina kuwa kwa wote kuna wanawake kitu cha kwanza anachokiwaza ampatapo mwanaume ni PESA my dear hiyo tabia itakuwa katika akili yako mwishon utaionesha dhahiri na mwishoni UTAKIMBIWA

na pia WANAUME sio kila muda tu unawaza kutafuta pesa hii inakupunguzia performance na pia itakufanya umchukie mpenzi wako Ukiwa nae embu funga faili hilo

KAMA UNATAFUTA ELA BILA KU ENJOY ANGALIA USIWE PUNDA HADI KUFA KWAKO

3.nimechoka mkono nitarudi baadae

Wazo zuri sana binti, ila linagusa true love pekeee. Kwa hali ya sasa 98% ya wanaume tunawqza kuhit na kusepa si kuweka kambi jumla. Tunafikia mbali zaidi na kugawa namba za simu kwa mwenzio ili naye agonge.
 
Last edited by a moderator:
Dadangu Vitaimana punguza hasira hao jamaa hawajakugusa moja kwa moja. Tujifunze kuvumiliana. Mjadala mzuri kama huu alioanzisha mwekundu twaweza uvuruga kama tutaanzisha matusi.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza tambua kuwa unapomtaja mwanaume..ujue unamzungumzia mtu aliyekomaa kifikra...ujue unamzungumzia mtu ambaye anajua anatakiwa kufanya nini na kwa wakati gani...unamzungumzia mtu ambaye ni kichwa cha familia au kiongozi wa familia kwa hiyo lazima awe na maono na akili iliyokomaa ili aweze kuiongoza vyema familia yake....mwanaume mwenye fikra pevu hawezi akasimama mbele ya umati na kujigamba kwa kuwahonga wanawake wa nje hali ya kuwa anajua kuwa hatima ya ustawi wa familia yake iko mikononi mwake...

.mwanamume mwenye utimamu wa akili hawezi akakaa sehemu za starehe na kufuja fedha hali ya kuwa familia yake inateseka kwa kukosa mahitaji muhimu......mwanaume aliye timamu hawezi kuyumbishwa na matamanio ya kimwili kwani anajua kuwa nyumbani yupo malkia wake mwenye jukumu la kumtimizia haja zake.....matendo ya kuwafunua wadada na kuwaacha huwa yanafanywa na wanaume wanaoonekana kuwa ni wanaume hali ya akili zao na maamuzi yao vinaongozwa na matamanio...hawana tofauti na wavulana wanaohangaishwa na balehe na ugeni wa mambo...

..ni matukio ambayo hayana faida kwa mwanaume zaidi ya hasara kwani huyumbisha uchumi wake.....wengi wa waliokuwa na tabia hizo nikiwa na maana ya kuwekeza rasilimali zao katika kuwafunua wadada vyupi vyao na kuwaacha wanaonekana kujutia kwani mwisho wa siku hakuna faida badala yake wanahesabu hasara.....kitu ambacho baadhi ya wanaume hawakijui ni kwamba wanawake wazuri hawaishi na kamwe hawajawahi kuisha hapa ulimwenguni kwa maana ya kuwa kila siku wanazaliwa wapya na wazuri kushinda uliowaona mwanzo....na wanavutia haswa kwa kuwa wao ni mapambo ya ulimwengu.....busara ni kuoa.....na hekima ni kutulia na mkeo....

Hakika u have a point
 
mi nafikiri sababu kubwa ya hit and run

1.KUTOKUZUNGUMZA AU KUTOKUWA NA MAWASILIANO YA WAZI BAINA YA WENZA mi huwa naamini mpaka mtu akufate basi amekupenda au mpaka mtu aombe gemu basi amekupenda lakini hii tabia ya wenza kuwa mabubu ina kost

mnaingia kunako viwanja vya mautamu hakuna anaesema lolote mwanamke anasubiri umvue nguo uingize umpe ela akafue chupi

mwanaume the same applied anasubiri kama hata angalau unaeza mpa blowjob HAPO AONGEI ANAKUA ANAWAZA NA KU IMAGNE TU KWAMBA MIUJIZA ITATOKEA mwisho wa siku kila mtu anatoka pale lakini mwanaume anasema hapana huyu mwanamke ni sura tu lakini hajui lolote ngoja hata ni tafute malaya

maana trust me kinachofanya mwekundu unitongoze ni nini kama sio making love????? maana unakuuta kila mtu ana uwezo wake lakini iweje muungane au muishi pamoja ni kwa sabbu ya mapenzi

ila sasa KUNA WANAWAKE KUKWAMBIA NAOMBA ELA YA SALUNI WALA AWAZI MARA MBILI ILA KUKUULIZA NIKAAJE ILI UMPATE JOJINA VIZURI WAKATI WA MECHI HAJAWAHI HATA KUWAZA KUSEMA HIVYO HATA SIKU MOJA

NA HII SIO KWENYE MAKING LOVE TU pia katika mambo mbalimbali ya kawaida

unakuta mwanamke kumwambia mwanaume sipendi ukila uwe unabonyeza sim anaona kama nitamfanya akimbie au mambo yanayofanana na hayo

katika hili KWA WANAWAKE ili kuepusha hili unavyokutana na mwanaume kwa mara ya kazi kazi yako ni moja tu KUMTENGENEZEA MAZINGIRA ILI UWE HURU KUZUNGUMZA NAE

NAWANAUME USIWE RIGID ongea na mwenzako UTARUKA MPAKA LINI?????? au mpaka ukutane na yenye meno??????

2.stress za maisha ikiwemo pesa hapa ina kuwa kwa wote kuna wanawake kitu cha kwanza anachokiwaza ampatapo mwanaume ni PESA my dear hiyo tabia itakuwa katika akili yako mwishon utaionesha dhahiri na mwishoni UTAKIMBIWA

na pia WANAUME sio kila muda tu unawaza kutafuta pesa hii inakupunguzia performance na pia itakufanya umchukie mpenzi wako Ukiwa nae embu funga faili hilo

KAMA UNATAFUTA ELA BILA KU ENJOY ANGALIA USIWE PUNDA HADI KUFA KWAKO

3.nimechoka mkono nitarudi baadae

Dada kweli bado hujawafahamu wanaume. Hit &run men don't give a damn!!
 
Last edited by a moderator:
Ikisha hit unaanza kusikia baby nahitaji Samsung, sijui kodi ya nyumba, sijui matumizi chuoni....
Kwa nini isisepe
ha ha ni kweli to some situations ila wengine wako poa tu ila unakuta jamaa linasepa speed 100%
 
Kwa kiasi fulani ndio lakini miaka hii wana hit kwa kutafuna atm  yako then wana run. Zamani mwanamke asipokupenda hupati penzi hata, miaka hii aweza asiwe na hisia lakini akiona uchumi wako uko vizuri ata hit hadi ahakikishe huna kitu then asepe...
Kwa hiyo madhumuni ni tofauti lakini mwisho wa siku kila mtu ana njia zake.

Ila ni wachache sana wanaume watakaosema naomba unirudishie gharama za nyumba niliyokupangishia,au samsung yangu,au Iphone yng etc tunaugulia ndani kwa ndani economically tofauti na hawa wenzetu tunakua tunawaumiza kihisia
 
Back
Top Bottom