Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Inatia huruma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza tambua kuwa unapomtaja mwanaume..ujue unamzungumzia mtu aliyekomaa kifikra...ujue unamzungumzia mtu ambaye anajua anatakiwa kufanya nini na kwa wakati gani...unamzungumzia mtu ambaye ni kichwa cha familia au kiongozi wa familia kwa hiyo lazima awe na maono na akili iliyokomaa ili aweze kuiongoza vyema familia yake....mwanaume mwenye fikra pevu hawezi akasimama mbele ya umati na kujigamba kwa kuwahonga wanawake wa nje hali ya kuwa anajua kuwa hatima ya ustawi wa familia yake iko mikononi mwake....
mwanamume mwenye utimamu wa akili hawezi akakaa sehemu za starehe na kufuja fedha hali ya kuwa familia yake inateseka kwa kukosa mahitaji muhimu......mwanaume aliye timamu hawezi kuyumbishwa na matamanio ya kimwili kwani anajua kuwa nyumbani yupo malkia wake mwenye jukumu la kumtimizia haja zake.....matendo ya kuwafunua wadada na kuwaacha huwa yanafanywa na wanaume wanaoonekana kuwa ni wanaume hali ya akili zao na maamuzi yao vinaongozwa na matamanio...hawana tofauti na wavulana wanaohangaishwa na balehe na ugeni wa mambo....
.ni matukio ambayo hayana faida kwa mwanaume zaidi ya hasara kwani huyumbisha uchumi wake.....wengi wa waliokuwa na tabia hizo nikiwa na maana ya kuwekeza rasilimali zao katika kuwafunua wadada vyupi vyao na kuwaacha wanaonekana kujutia kwani mwisho wa siku hakuna faida badala yake wanahesabu hasara.....kitu ambacho baadhi ya wanaume hawakijui ni kwamba wanawake wazuri hawaishi na kamwe hawajawahi kuisha hapa ulimwenguni kwa maana ya kuwa kila siku wanazaliwa wapya na wazuri kushinda uliowaona mwanzo....na wanavutia haswa kwa kuwa wao ni mapambo ya ulimwengu.....busara ni kuoa.....na hekima ni kutulia na mkeo....
Mueleze basi kabla hujamlaUmeona wapi raisi anafanya campaign baada ya kushinda uchaguzi ??? Tehe iko hvyo tu..Lol
Ifike wakati watu wote wanaume kwa wanawake watambue kwamba ngono ni starehe kama starehe zingine (as long as ni mtu mzima na unajitambua) its no point mnazungushana weee na kupotezeana wakati na pesa bila returns zozote. Nikitupa mistari ikamuingia mtoto....kinachofuata ni kulana uroda tu. Kama nampenda na kutaka mwenzi wangu wa maisha nitamueleza ukweli.
Yote hayo hayaondoi ile hali ya asili ya mwanaume!
Mueleze basi kabla hujamla
Ukimuwleza kabla hakupi k...
Lol
Si ndo utafute yule ambae utamuhitaji for life na sio kuchakaza k.. za wenzio sio vizuri kuwachakazia wanaume wenzio
Warembo hawataisha chagua momja utulie nae na usigeuze shingo yako tenaSi ndo utafute yule ambae utamuhitaji for life na sio kuchakaza k.. za wenzio sio vizuri kuwachakazia wanaume wenzio
Mi nakataa nadharia ya hit and run kabisa. Pia si lazima mwanaume pekee awe ana hit and run. Binafsi nimeshakutana na wanawake wanaofanya hiyo kitu. Nina marafiki zangu wamekumbana na hali hiyo ya hit and run toka kwa wanawake.
Kinachotokea kwenye hit and run ni kukosa chemistry kati yenu wawili, mwanaume amevutiwa na umbo tu na anataka alitumie kujiridhisha kimatamanio na si kwa ajili ya life time. Na pia kuna wanawake wanakubali kusex na wewe kwasababu wana nyege na si kwamba anaanza kukupenda na ukimaliza anakata mawasiliano.
Pia si wanaume wote wanao hit and run inawatokea milele. Kuna wale wanaonasa kwenye jumba bovu. Amekutongoza kwa ajili ya kula mzigo tu, mkasex siku ya kwanza akajikuta amefia mzigo mapema kabisa.
Nadharia ya hit and run ipo pande zote na si wanaume tu.

Sana tuu mwekundu na hiyo ni kweli kabisa maana wakati tunatafuta tunakuwa wema sana na wanyenyekevu yaani hata Pope anasingiziwa tunavyokuwa wakati wa kutafuta na kutangaza ndoto zote za ufalme na ndoa na imagination ya ndoa itakavyokuwa siku hiyo
Ni wakati hatujafunuana nakuonana ni nini kila mtu anacho ameficha kwenye boxer na kyupi
Ila sasa tukishaonana dah kuna kitu kinakuja unajiuliza hivi speed yote na ghara/ma zangu zote nilizotoa na simu zangu na text na kuchart usiku ni hiki nilikuwa nahangaikia
Unyenyekevu wote umeisha na upole wote umeenda porini na nakuwa mbaya sana kwa kipindi hicho ukinitext au ukipiga simu always nakata au sipokei au nitakujibu short jua hapo ahadi zote zishayeyuka