Wanaume Tabia ya Kutembea Bila Boxer/Chupi Mmeitoa Wapi?

weka na picha malikia wangu wa nguvu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] vumilia tu nyie wenyewe mnatupaga wakati mgumu na vinguo vyenu mnavyovaa vinachora hadi ikulu
Mtaanza sikia habari za wanaume kubakwa mkiendelea hivi
 
Yaani mpaka nimeogopa,nimehisi labda umeniona mimi! Dr. Joto bhaana,kuvaa boxer au chupi,unajitesa tu kwakweli..!! Mashine inabidi ipate hewa hata ikisimama inyooke vizuri. Ikibinwa na boxer halafu itokee imesimama unateseka sana!!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo jamaa inaonekana amekudisturb sana
Yani huyu wa asubuhi ndo kanishtua nikaona imekua kama trend kutembea mkia unaning'inia
 
Hahahahahaaa. Baba mtoto sijui kama anaijua JF
haya sasa nakuchora tu, endelea kujiachia, tena siku hizi wadada ndo hamuvai sindilia mnatembea minyonyo nje nje na sisis hatusemi kwa kuwa tunafaidika nayo, ukienda club wadada hawavai vyupi mambo yote nje akinyanyua mbuu na bado tumekaa kimya kwa kuwa tunafaidika navyo ww kuona leo tu imekuwa nongwa
 
Yaani mpaka nimeogopa,nimehisi labda umeniona mimi! Dr. Joto bhaana,kuvaa boxer au chupi,unajitesa tu kwakweli..!! Mashine inabidi ipate hewa hata ikisimama inyooke vizuri. Ikibinwa na boxer halafu itokee imesimama unateseka sana!!!
Semeni tu mnataka kututega mkitutongoza tusianze kuwaza maumbile yakoje maana tunayaona live
 
Kuvaa chupi sisi joto ilaa hata tusipovaa hamuwezi jua. Nyie wenzetu msipojibana mambo yote yanakua wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…