Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
weka na picha malikia wangu wa nguvuSiku hizi imezuka tabia wanaume waliojaaliwa down there kuvaa nguo zinazochora mikia yao na kutembea barabarani. Sijajua lengo lao hasa ni nini kutembea mkia unaning'inia na kuruka ruka. Asubuhi nimekutana na mkaka hadi nikaona aibu kwa niaba yake. Kitu kimejichora jamani na hana hata wasiwasi anafanya zake mazoezi.
hahaha ndo mimi mwenyeweeee nimetumia id mpyaKhaaah. Umeenita jina analoniita baba mtoto umenishtua kweli. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Picha ntawapiga siku
Kwahiyo mnataka kushindana na sisi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] vumilia tu nyie wenyewe mnatupaga wakati mgumu na vinguo vyenu mnavyovaa vinachora hadi ikuluMnatutega sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo jamaa inaonekana amekudisturb sanaMtaanza sikia habari za wanaume kubakwa mkiendelea hivi
haya sasa nakuchora tu, endelea kujiachia, tena siku hizi wadada ndo hamuvai sindilia mnatembea minyonyo nje nje na sisis hatusemi kwa kuwa tunafaidika nayo, ukienda club wadada hawavai vyupi mambo yote nje akinyanyua mbuu na bado tumekaa kimya kwa kuwa tunafaidika navyo ww kuona leo tu imekuwa nongwaHahahahahaaa. Baba mtoto sijui kama anaijua JF
Semeni tu mnataka kututega mkitutongoza tusianze kuwaza maumbile yakoje maana tunayaona liveYaani mpaka nimeogopa,nimehisi labda umeniona mimi! Dr. Joto bhaana,kuvaa boxer au chupi,unajitesa tu kwakweli..!! Mashine inabidi ipate hewa hata ikisimama inyooke vizuri. Ikibinwa na boxer halafu itokee imesimama unateseka sana!!!
Mi mwenyewe naliachiaga tu lipumue ukiibana sana inapindaYani huyu wa asubuhi ndo kanishtua nikaona imekua kama trend kutembea mkia unaning'inia
Kuvaa chupi sisi joto ilaa hata tusipovaa hamuwezi jua. Nyie wenzetu msipojibana mambo yote yanakua wazihaya sasa nakuchora tu, endelea kujiachia, tena siku hizi wadada ndo hamuvai sindilia mnatembea minyonyo nje nje na sisis hatusemi kwa kuwa tunafaidika nayo, ukienda club wadada hawavai vyupi mambo yote nje akinyanyua mbuu na bado tumekaa kimya kwa kuwa tunafaidika navyo ww kuona leo tu imekuwa nongwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ikipinda haiwi tamu kiivyoIkipinda mbona nzuri pia tu inakua
na hapo kifuani mbona mambo yote wazi isipokuwa ncha za kunyonyeshea tuKuvaa chupi sisi joto ilaa hata tusipovaa hamuwezi jua. Nyie wenzetu msipojibana mambo yote yanakua wazi