Wanaume tuache kutembea na mabinti wadogo, hasara ni nyingi kuliko faida

Kweli…..kwani unazani kuna nini kingine?? [emoji1787][emoji1787]
Nyie wanawake hasa nyie wahenga hua mko makini sana hamkai na mtu hivi hivi tuu. Apo umeshalenga ukaona kabisa pana ka asali utalamba πŸ˜€
 
Nyie wanawake hasa nyie wahenga hua mko makini sana hamkai na mtu hivi hivi tuu. Apo umeshalenga ukaona kabisa pana ka asali utalamba [emoji3]

Hamna wahenga tuna mahaba ya kweli banaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wasiwasi wako tu, sisi tunajua nini tunataka
 
Kua serious mkuu,Miaka 70 uogope kutumia pesa wakati hata Miaka 15 mtihani kuikata mbele, ujue ukiwa na 65 kavukavu pigaa hamna Cha kukutisha tena maana unakaribia kuondokaa.
 
Hapa lawama zinaenda kwa pande zote banaπŸ˜…
Mngekua mnaacha vitoto vikue mngeoa bikira, Ila mnaharibu vitoto mnasahau hao ndio wake zenu wa baadae, wachache sana wameoa hivyo vibinti, wengi wao wanajimwambafai tu hapa ikifika muda wa kuoa anavuta tu bwawa lake ndani Anatulia 🀣🀣🀣🀣wake zenu wengi wenu mabwawa mnajishaua tu hapa nye nye, kila mtu Angekua responsible kama mtoa mada anavyoshauri, wake zenu nao wangekua vizuri muda wanaolewa, sasa mnakula vitoto halafu mnalalamika mnakuta mabwawa kwa wakubwa, hayo mabwawa kasababisha nani kama Sio Nyie Nyie??? Nasemaje kuleni hivyo vitoto fainali wakati wa kuoa utavuta kitoto ndani au utatafuta bwawa lako ukaogelee vizuri ndani?? 🀣🀣😊😊😊😊😊😊
 
Unadhani walaji wanaopiga stori hapa hawajaoa? Wengi wame za watu so wanakula tu allowances nje ya ndio. Wanaoumia ni ambao watawaoa badae. Hii ni chain hata wao walikuta wake zao wameshachezewa sana vyuoni huo. Ni kama ecosystem hii ni kwakuwa maadili ya familia yameshuka na vitoto vinaanza mapenzi vikiwa msingi, kufika chuo huko vinaliwa tu
 
Haya mimi niko rika na hivo vibinti vya chuo vina nyege hatari navyo vinapenda kukamuliwaπŸ˜…

navyo vijizuie kuvitongoza kama kusukuma mlevi
 
To break the cycle kila mwanaume angeona kutembea na kitoto ni kuharibu mke wa mtu wa baadae, ni sawa na kutunza mazingira kwa vizazi Vijavyo, ingekua kila mtu anachukulia hili jukumu serious ndoa zingekua za furaha,,,,,, halafu wanaume bwana hapa wanalalamika mabwawa Kumbe wameyafuga ndani khaaa tuheshimiane 🀣🀣🀣😊😊😊😊😊
 
Hio ni huko kwenu uswahilini mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…