Wanaume tuache kutembea na mabinti wadogo, hasara ni nyingi kuliko faida

Wakuu natumaini ni wazima. Kuna mtu kanikumbusha huu uzi nikasema niwape mrejesho.

Haka kamchepuko bana bado niko nako mpaka leo! Mungu katubariki kwa sasa tuna katoto ka kiume kana miezi 3 sasa. Tangu kajifungue hatujakutana nimekamiss balaa.. Ila tumepanga wiki ijayo panapo majaaliwa katoroke tuonane maana bado kapo kwao. Ntaendelea kuwapa updates tuzidi kuombeana ya Mungu mengi.

cariha Extrovert Mlolongo financial services Abrianna logframe rikiboy
Tayari ushaongeza idadi ya singo maza[emoji15]

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu natumaini ni wazima. Kuna mtu kanikumbusha huu uzi nikasema niwape mrejesho.

Haka kamchepuko bana bado niko nako mpaka leo! Mungu katubariki kwa sasa tuna katoto ka kiume kana miezi 3 sasa. Tangu kajifungue hatujakutana nimekamiss balaa.. Ila tumepanga wiki ijayo panapo majaaliwa katoroke tuonane maana bado kapo kwao. Ntaendelea kuwapa updates tuzidi kuombeana ya Mungu mengi.

cariha Extrovert Mlolongo financial services Abrianna logframe rikiboy
Tayari ushaongeza idadi ya singo maza[emoji15]
 
Wakuu

Ni sawa kwamba wewe ni rijali, kwamba nyoka hachagui shimo. Kwamba ukiona chaka, mavi yanabana. Kwamba una pesa hakuna mbususu itakayokushinda. Lakini watu wazima kutembea na mabinti wadogo ni risk nyingi na laana, Plus kujivunjia heshima
Hasara ni nyingi tuone..

1: Utageuzwa kitega uchumi ama mpesa.
Vibinti vingi hasa vya shule na chuo, huwa vina mambo mengi, utasikia "nitumie 30 nikatoe copy ya notes, ama simu yangu ipo kwa fundi amesema ni 50k." "mtungi umeisha gesi" " Ukiwa na mdada mtu mzima hafanyi hivi, kwanza anaona aibu kusema haya, atakuomba hela kwa njia nyingine.

2: Heshima inashuka..
Pili ni heshima yako inashuka baada ya kumnyandua binti huyo, kwani anakuona kama kijana mwenzake. Imagine binti wa 23 yrs anamwambia mzee wa miaka 70 assume ni baba yako. "hujakua wewe nakuacha" hapo mzee wa watu anapiga goti kisa tu mnato binti.. Na ukute mzee wa watu ndo una kibamia ndio utajuta yaani. Tutulie na wake zetu wakuu ama kunywa k vant aka kifutio kama una stress..

3: Kifo nje nje...
Pia kifo kinakuwa nje nje yaani, Izraili anakuwa kashashika kalamu anasubiri tu kupiga sign urudishe namba.. Vitoto hivi huwa vina style za laana wakati wa kufiringana. Mara "idondokee" mzee wa watu hujakaa vizuri mara kamekupa "nimekususia yote" kanakuja kukumalizia na sijui "covid 19" Nini hapo kama si mzee wetu uteme nyongo na maini? Tabu yote ya nini mzee mwenzangu? Mkeo anakupa kistaarabu kabisa wala hazijui hizo "doggy style"..punguza usije dedi ujaacha urithi..

Mwisho wazee achieni mabinti vijana waoe. Ndio maana Extrovert hataki kuoa.
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚Apa kuoa vijana tutapasikia tu mbususu kigwangura
 
Wakubwa wenzetu wamepoa jamani...wabaridiii K haivuti kabisa. Hizi 20s aisee K inavuta ka unanyonywa na mdomo, mtoto anajituma njia nzima ya kufika mwisho. Unaweza piga gemu unapiz anakuja tena unapiz anakuja tena ....mzee ndio unaomba Po!
Mengine nitasema kesho[emoji16]
 
Wakuu

Ni sawa kwamba wewe ni rijali, kwamba nyoka hachagui shimo. Kwamba ukiona chaka, mavi yanabana. Kwamba una pesa hakuna mbususu itakayokushinda. Lakini watu wazima kutembea na mabinti wadogo ni risk nyingi na laana, Plus kujivunjia heshima
Hasara ni nyingi tuone..

1: Utageuzwa kitega uchumi ama mpesa.
Vibinti vingi hasa vya shule na chuo, huwa vina mambo mengi, utasikia "nitumie 30 nikatoe copy ya notes, ama simu yangu ipo kwa fundi amesema ni 50k." "mtungi umeisha gesi" " Ukiwa na mdada mtu mzima hafanyi hivi, kwanza anaona aibu kusema haya, atakuomba hela kwa njia nyingine.

2: Heshima inashuka..
Pili ni heshima yako inashuka baada ya kumnyandua binti huyo, kwani anakuona kama kijana mwenzake. Imagine binti wa 23 yrs anamwambia mzee wa miaka 70 assume ni baba yako. "hujakua wewe nakuacha" hapo mzee wa watu anapiga goti kisa tu mnato binti.. Na ukute mzee wa watu ndo una kibamia ndio utajuta yaani. Tutulie na wake zetu wakuu ama kunywa k vant aka kifutio kama una stress..

3: Kifo nje nje...
Pia kifo kinakuwa nje nje yaani, Izraili anakuwa kashashika kalamu anasubiri tu kupiga sign urudishe namba.. Vitoto hivi huwa vina style za laana wakati wa kufiringana. Mara "idondokee" mzee wa watu hujakaa vizuri mara kamekupa "nimekususia yote" kanakuja kukumalizia na sijui "covid 19" Nini hapo kama si mzee wetu uteme nyongo na maini? Tabu yote ya nini mzee mwenzangu? Mkeo anakupa kistaarabu kabisa wala hazijui hizo "doggy style"..punguza usije dedi ujaacha urithi..

Mwisho wazee achieni mabinti vijana waoe. Ndio maana Extrovert hataki kuoa.
Siku hizi wanawake wamekua aghari kuliko mabinti, kila wiki wanataka vijora, madela na hela yakutuza, yaani akitoka akitoka ngomani anaunganisha juu kwa juu; kwa msiojua kila sherehe ina vijora na madela manne hii, nayo ni lakuchagulia mchele, lakumtoa mwali, laharusi na lakumsindikiza bi harusi achilia mbali notinoti za kutuza, wanafilisi hawa akina mama.
 
Mpaka hapa opposer side tumewashinda proposer side. Uzi ufungwe. Kiuchumi hai sound kutoa hela kiasi chochote kwa kei iliyokwisha pitia kila aina ya misukosuko
 
Mimi naona haijalishi ni wa chuo au shangazi, mizinga iko pale pale tu. Vitoto vya chuo navyo vinapiga makombora sio poa yani. They want to live fancy, outings za clslassic places, simu kubwa na maisha mazuri tu, same kwa mashangazi...
...usawa huu ukitaka kuchepuka just make sure ur wallet is loaded. Or else kanunue malaya, 50k unakula malaya wa viwanho vya kati.
 
Wazee wazima hovyooooooo

Wewe mzee mwenzangu tulia wazee tupo hata uwe na mishono ya uzazi mia mbili nipo na wewe hadi kifo kitutenganishe, wewe niandalie supu ya mbufu na limao, mchana ugali wa muhogo na samaki aina mbelele basi mengine niachie
 
Back
Top Bottom