Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Unakumbuka wapi boss🤣🤣🤣We jamaa fala sana yaani umenikumbusha mbali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakumbuka wapi boss🤣🤣🤣We jamaa fala sana yaani umenikumbusha mbali sana
Siraha pekee mwanaume unatakiwa kumiliki ni mbooHasa kwa wale wanaoishi na mke ama / na watoto wadogo.
SILAHA ZANGU
1. FIRIMBI
firimbi zile za walinzi na sungusungu, zinasaidia kumpa wenge mvamiaji kudhani kwamba pana ulinzi shirikishi, filimbi hizi hazizidi elf 2 kwa machinga.
2. MANATI
Kwa mashambulizi ya mbali nina manati na golori za chuma, sio ya kuyachukulia poa hata kidogo, nikivuta hadi mwisho nikiachia, lazima ukae ama ubebwe.
3. RUNGU
nina rungu kama la komredi kipepe kwa mashambulizi ya ana kwa ana man to man, lakini ningependa tuelimishane zaidi.
Kupitia uzi huu tuelimishane silaha za kuwa nazo, kuzificha, matumizi sahihi, n.k.
Unailoweka kwenye Maji ya Betri uanichuja unaweka Kwenye Spray bottle ile ya Pressure unaiseti iruke Mita 3-5. Hata wakija majambazi na Bunduki au Panya Road ukimpiga Usoni kesi umeshinda asubuhi TuuPilipili ilotwangwa unawatia machoni
Niliwahi kuvamiwa then nikatoka ndukiiii walijaribu kunifukuza lakini niliwaacha mbali sanaUnakumbuka wapi boss
Sifa wepesi afandreee!Niliwahi kuvamiwa then nikatoka ndukiiii walijaribu kunifukuza lakini niliwaacha mbali sana