Wanaume tuendelee kuandika majina ya Mama kwenye mali zetu.

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Kama ulidhani mali zako zitakuwa salama ukiziandika kwa majina ya mama yako au ndugu mwingine, basi fikiria upya.

Kuna madhara mengi unayoweza kuyapata ikiwepo kupoteza uhalali wa umiliki wa mali hizo.

-------------------------------------------

View: https://www.facebook.com/share/v/15ejF3UbeK/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v

Ukipata kumsikiliza huyu mwamba ni kama vile tayari mali zaks zipo rehani, na hajanusa harufu ya upigaji utakaokuja kutokea. Kwanini atumie nguvu kiasi hiki kuwaeleza wanaume wasiandike mali zao kwa majina ya mama?

Dear Bro vita ya mali ndani ya familia ni nyepesi kuliko vita ya mali baina yako na mwanamke tena ambaye umepata naye mtoto. Sheria zitakazotumika kuamua kesi hizi mbili ni tofauti kabsa.

Kupambana na ndugu zako kwenye mali zako ambazo zipo kwenye majina ya Mama sio kitu rahisi ila damu ni nzito, na mnaweza kukaa chini na kukubaliana. Kama Bi Mkubwa ulimwandikisha nyumba sita, ukiawaachia ndugu nyumba nne ni kitu bora ila sio mwanamke ambaye mahesabu yake ni kuchukua nusu ya mali zako, akiungana na ndugu zake umekwisha.

Hakuna ambacho kitaweza kunifanya nichukie ndugu zangu kiasi cha kumpa vipaumbele mtoto wa mwanamke mwingine kwenye mali zangu. Hapo mwamba umefeli parefu sana.
 
sasa mkuu umetoa mfano una nyumba sita na ukaziandika majina ya mama na baada ya mama kufa ndugu zako wanazitambua kama za mama hivyo lazima wapate mgao na ww ukasema ili kuepusha mgogoro unakubaliana nao uwaachie nyumba nne..sasa hapa kuna tofauti gani kama ungegawana na mkeo nusu kwa nusu maana mali za mkeo ni mali za watoto wake pia ambao pia ni wanao ww kwani hao ndio watakaomridhi mali ulizompa ww. kama tu mwanamke atakuwa na akili ya maisha kwa kuziendeleza hizo mali..sio ww mali unazitafuta kwa shida uje ugawane na ndugu ambao watakula mali hizo na wake zao na ambao hawakuhusu.. ila ww mkeo pia mama wa watoto wako umempuuza wakati mali mlizogawana watoto wako watanufaika nazo..ndugu ni nyoka sana kwenye mali.. ww ukiwa hai na mali zako watoto wako watapendwa sana kiasi utaona wapi salama ila ukifa sasa hao ndugu watagawana mali zote na watoto wako hawapati kitu gawana na mkeo mali kwa kesho ya watoto wako
 
Kama ulidhani mali zako zitakuwa salama ukiziandika kwa majina ya mama yako au ndugu mwingine, basi fikiria upya.

Kuna madhara mengi unayoweza kuyapata ikiwepo kupoteza uhalali wa umiliki wa mali hizo.

-------------------------------------------

View: https://www.facebook.com/share/v/15ejF3UbeK/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v

-------------------------------------------
Ukipata kumsikiliza huyu mwamba ni kama vile tayari mali zaks zipo rehani, na hajanusa harufu ya upigaji utakaokuja kutokea. Kwanini atumie nguvu kiasi hiki kuwaeleza wanaume wasiandike mali zao kwa majina ya mama?

Dear Bro vita ya mali ndani ya familia ni nyepesi kuliko vita ya mali baina yako na mwanamke tena ambaye umepata naye mtoto. Sheria zitakazotumika kuamua kesi hizi mbili ni tofauti kabsa.

Kupambana na ndugu zako kwenye mali zako ambazo zipo kwenye majina ya Mama sio kitu rahisi ila damu ni nzito, na mnaweza kukaa chini na kukubaliana. Kama Bi Mkubwa ulimwandikisha nyumba sita, ukiawaachia ndugu nyumba nne ni kitu bora ila sio mwanamke ambaye mahesabu yake ni kuchukua nusu ya mali zako, akiungana na ndugu zake umekwisha.

Hakuna ambacho kitaweza kunifanya nichukie ndugu zangu kiasi cha kumpa vipaumbele mtoto wa mwanamke mwingine kwenye mali zangu. Hapo mwamba umefeli parefu sana.

Tulishaamka kitambo sana
 
Back
Top Bottom