Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Kama ulidhani mali zako zitakuwa salama ukiziandika kwa majina ya mama yako au ndugu mwingine, basi fikiria upya.
Kuna madhara mengi unayoweza kuyapata ikiwepo kupoteza uhalali wa umiliki wa mali hizo.
-------------------------------------------
View: https://www.facebook.com/share/v/15ejF3UbeK/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v

Ukipata kumsikiliza huyu mwamba ni kama vile tayari mali zaks zipo rehani, na hajanusa harufu ya upigaji utakaokuja kutokea. Kwanini atumie nguvu kiasi hiki kuwaeleza wanaume wasiandike mali zao kwa majina ya mama?
Dear Bro vita ya mali ndani ya familia ni nyepesi kuliko vita ya mali baina yako na mwanamke tena ambaye umepata naye mtoto. Sheria zitakazotumika kuamua kesi hizi mbili ni tofauti kabsa.
Kupambana na ndugu zako kwenye mali zako ambazo zipo kwenye majina ya Mama sio kitu rahisi ila damu ni nzito, na mnaweza kukaa chini na kukubaliana. Kama Bi Mkubwa ulimwandikisha nyumba sita, ukiawaachia ndugu nyumba nne ni kitu bora ila sio mwanamke ambaye mahesabu yake ni kuchukua nusu ya mali zako, akiungana na ndugu zake umekwisha.
Hakuna ambacho kitaweza kunifanya nichukie ndugu zangu kiasi cha kumpa vipaumbele mtoto wa mwanamke mwingine kwenye mali zangu. Hapo mwamba umefeli parefu sana.