Wanaume tukatae kufa mapema kwa sababu ya wanawake

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Kuna wakati huku mitandaoni kulikuwa na takwimu zilikuwa zinatembea za idadi ya watu wakubwa ambalo wamefariki na kuwaacha wake zao wanaishi tena kwa miaka mingi baada ya waume zao kudanji. Zile takwimu zina mengi sana ya kuelezea ni basi tu mambo ya mitandaoni tunayachukulia kwa mzaha.

Wanaume tunakufa kwa sababu ya kutoka sana kuwaridhisha wanawake. Tunafanya kazi, wengine ni wezi na waongo, wengine matapeli, kazi zingine hatarishi na ukichunguza vizuri kisa tu kuridhisha jinsia ya kike, kuhakikisha mke na michepuko yako yote inatimiziwa mahitaji yake yote.

Bahati mbaya sana hawa viumbe hawaridhiki, hawatosheki na hawakumbuki. Fanya yooote, siku ukiyumba ukashindwa kutimiza mahitaji ya wakati huo, hatakumbuka nyakati ulipokuwa unatoa. Stress ndiyo zinapoanza na kupunguza siku zako za kuishi.

Mambo ya 6 kwa 6 ndiyo yanatuua kabisa. Wengi mnadhani mnaweza kukomoa mlikopita na hapo tunakosea sana. Wengi tunaona tukikataa mbususu tutadhaniwa tumekuwa upinde, kwa hiyo yoyote inayokatiza lazima tuile kudhihirisha urijali wetu.

Mimi manzi wangu kama siku hiyo sijisikii kufanya kwa uchovu au sababu nyingine yoyote, sifanyiii, nalala zangu hata ilale pembeni yangu imechanua usiku mzima.

Nikiona wazungu wanataka kutoka, nawaachia watoke hata kama ni baada ya sekunde 5 fuleshi tu.

Mimi naamini wanawake ndani ya mioyo yao kabisa wanapendelea waume zao wafe kabla yao. Wakifikiria kwamba wakifa wao kwanza, waume zao watachukua mwanamke mwingine, aishi alipohusika kujenga, alale na mumewe unaleta hisia kali za wivu ndani yake.

Wivu huu unaleta maombi ya siri na sitashangaa mambo mengine yanayopelekea wanaume kuugua magonjwa yakiwemo yale yanayochangiwa sana na stress yanayopelekea kufariki mapema.

Hivi ndiyo najihami ili hawa viumbe wasiniue kabla ya siku zangu.
 
Uko na stress....ongea na mtu.binafsi nakubaliana na wewe asilimia mimiaaa jamaa...mwanamke ni mke kidhaifu kupita kiasi.mpende ila kwa akili sio kimoyo.namaliza utakuja kunishukuru
 
Unechelewa sana kujua hilo
Cha kwanza usioe
Unaweza usioe lakini mama na dada zako wakakuendesha kama gari mbovu!
Anyways, naunga mkono hoja. Wanaume inabidi kujipanga upya, wanawake tumepangwa miaka mingi sasa na sasa tumekua tishio kabisa.
Usipokubali kubadilika utavunjika shingo! Kila la kheri.
 
Kweli kabisa, kila mwanaume kuna mwanamke anampeleka puta, mfano mimi sina mama wala dada ila sipo salama kabisa, kuna namna nakosa kuwa kawaida kwa sababu ya mwanamke fulani, hata kama sina nasaba nae, huruma na kupenda penda kwetu kumetugarimu mno.
 
Pole sana mkuu. Kitu muhimu maishani ni kujua jinsi ya kuset boundaries. Mimi nina dada ambae ndio anaabuse kila mtu. Ila ukiset boundary walau wewe unabakia kuwa na akili timamu. Maamuzi magumu ni magumu, you can quote me!

Kila la kheri, ila jiweke wewe kwanza na usipate kichaa wala kufa chap chap.
 
Back
Top Bottom