Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
Kwenye misiba siku hizi wala hata kulia hawalii tena 👌👌
Sababu ya chuki.
Sababu ya chuki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanaume tunakufa haraka kwa sababu zifuatazo:-Kuna wakati huku mitandaoni kulikuwa na takwimu zilikuwa zinatembea za idadi ya watu wakubwa ambalo wamefariki na kuwaacha wake zao wanaishi tena kwa miaka mingi baada ya waume zao kudanji. Zile takwimu zina mengi sana ya kuelezea ni basi tu mambo ya mitandaoni tunayachukulia kwa mzaha.
Wanaume tunakufa kwa sababu ya kutoka sana kuwaridhisha wanawake. Tunafanya kazi, wengine ni wezi na waongo, wengine matapeli, kazi zingine hatarishi na ukichunguza vizuri kisa tu kuridhisha jinsia ya kike, kuhakikisha mke na michepuko yako yote inatimiziwa mahitaji yake yote.
Bahati mbaya sana hawa viumbe hawaridhiki, hawatosheki na hawakumbuki. Fanya yooote, siku ukiyumba ukashindwa kutimiza mahitaji ya wakati huo, hatakumbuka nyakati ulipokuwa unatoa. Stress ndiyo zinapoanza na kupunguza siku zako za kuishi.
Mambo ya 6 kwa 6 ndiyo yanatuua kabisa. Wengi mnadhani mnaweza kukomoa mlikopita na hapo tunakosea sana. Wengi tunaona tukikataa mbususu tutadhaniwa tumekuwa upinde, kwa hiyo yoyote inayokatiza lazima tuile kudhihirisha urijali wetu.
Mimi manzi wangu kama siku hiyo sijisikii kufanya kwa uchovu au sababu nyingine yoyote, sifanyiii, nalala zangu hata ilale pembeni yangu imechanua usiku mzima.
Nikiona wazungu wanataka kutoka, nawaachia watoke hata kama ni baada ya sekunde 5 fuleshi tu.
Mimi naamini wanawake ndani ya mioyo yao kabisa wanapendelea waume zao wafe kabla yao. Wakifikiria kwamba wakifa wao kwanza, waume zao watachukua mwanamke mwingine, aishi alipohusika kujenga, alale na mumewe unaleta hisia kali za wivu ndani yake.
Wivu huu unaleta maombi ya siri na sitashangaa mambo mengine yanayopelekea wanaume kuugua magonjwa yakiwemo yale yanayochangiwa sana na stress yanayopelekea kufariki mapema.
Hivi ndiyo najihami ili hawa viumbe wasiniue kabla ya siku zangu.
Asante sana, naomba kuishi na neno hilo, kujisamehe.kujisamehe
mzuri pesa tu! kwanini usijinywee bia zako ukaenda kulala?!Michepuko inakuja kutokana na stress tunazopata kutoka kwa wenza wetu. Ni jitihada za mwanaume kutafuta mahali ambapo atapata amani ya moyo. Sisemi kama ni sahihi au la maana yote yanaweza kukurudisha kule kule tu kwenye kiwanda cha stress.
I think one of the best hraling process is to be able to laugh at yourself. Cheka sana, jiambie jinsi ulivyoingizwa mjini, ulivyodogoshwa na ukawa mdogo kama piriton. Yaani jinsi ulivyofanywa kama mtu alikuja mjini na gari ya maparachichi. Yaani ukishacheka hivyo endelea mbele! Na ufanye makosa mengine mapya usirudie ya zamani 😄Asante sana, naomba kuishi na neno hilo, kujisamehe.
Asante sana mkuu, unaweza kuwa mleta habari njema kwanguI think one of the best hraling process is to be able to laugh at yourself. Cheka sana, jiambie jinsi ulivyoingizwa mjini, ulivyodogoshwa na ukawa mdogo kama piriton. Yaani jinsi ulivyofanywa kama mtu alikuja mjini na gari ya maparachichi. Yaani ukishacheka hivyo endelea mbele! Na ufanye makosa mengine mapya usirudie ya zamani 😄
Karibu mkuu. Tena tafuta mtu wa karibu wa kujicheka nae. Yaani unampigia unamuambia sikujua mimi ni kenge namna hii! Yaani leo nimechemsha tope kabisa! Yaani wakati unamsimulia yeye anacheka na wewe unacheka! Usijipe nafasi ya kukasirika, ukutoka hapo mweupeee! Life is short jamani, make mistakes and learn from them; then find new mistakes to make 🤣🤣Asante sana mkuu, unaweza kuwa mleta habari njema kwangu
Sikuwahi kudhani kama kuna kujicheka!
Always najua kujilaumu, kujikosoa, kujilaani.
Kumbe ninanaweza kujicheka kwa some error issues nilizokutana nazo then nikapona!!
I will try my friend.
Uzi ufungwe sasa, wewe unawajua vizuri sana wanawake "maana yeye by nature huwa hakuhitaji sana, na hupenda vijana wadogo zaidi"Ukisha zaa nae watoto 2-3,Jitahidi kuwa mtu wa safari nyingi sana, maana yeye by nature huwa hakuhitaji sana, na hupenda vijana wadogo zaidi, safiri sana kumkwepa na uwe bize huko mbali, lakini udumia family kama kawaida. Utaepuka mengi.
Find new mistakes and learnKaribu mkuu. Tena tafuta mtu wa karibu wa kujicheka nae. Yaani unampigia unamuambia sikujua mimi ni kenge namna hii! Yaani leo nimechemsha tope kabisa! Yaani wakati unamsimulia yeye anacheka na wewe unacheka! Usijipe nafasi ya kukasirika, ukutoka hapo mweupeee! Life is short jamani, make mistakes and learn from them; then find new mistakes to make 🤣🤣
kataa ndoa!!Kuna wakati huku mitandaoni kulikuwa na takwimu zilikuwa zinatembea za idadi ya watu wakubwa ambalo wamefariki na kuwaacha wake zao wanaishi tena kwa miaka mingi baada ya waume zao kudanji. Zile takwimu zina mengi sana ya kuelezea ni basi tu mambo ya mitandaoni tunayachukulia kwa mzaha.