As
Asante sana tunaendelea kupoa japo kwa mbinde.Hivi kumbe wanawake ni tishio kwenu kiasi hiki? Aisee poleni sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana tunaendelea kupoa japo kwa mbinde.Hivi kumbe wanawake ni tishio kwenu kiasi hiki? Aisee poleni sana.
Weeeh... inachanua kama mauwa ya saa nne?Mimi manzi wangu kama siku hiyo sijisikii kufanya kwa uchovu au sababu nyingine yoyote, sifanyiii, nalala zangu hata ilale pembeni yangu imechanua usiku mzima.
Asante ndugu yangu, ukweli kama tungejaliwa kusimama katika mipaka yetu walao tungekuwa na lugha nzuri ya kuongea.Pole sana mkuu. Kitu muhimu maishani ni kujua jinsi ya kuset boundaries. Mimi nina dada ambae ndio anaabuse kila mtu. Ila ukiset boundary walau wewe unabakia kuwa na akili timamu. Maamuzi magumu ni magumu, you can quote me!
Kila la kheri, ila jiweke wewe kwanza na usipate kichaa wala kufa chap chap.
Tunajitahidi, ila mngejaliwa huruma dhidi yetu walao, ila hamtuonei huruma, mnatamani tusiwepo,kinyume na sisi, sisi maisha hayawi maisha bila nyie, ila nyie mmetumia kigezo hicho kutukandamiza na kutumaliza.Poleni sana rafiki. Muishi nasi kwa akili.
Umeshaelewa ni nature Pendaelli . Relax na kufanya ubinadamu, ila maumivu yakizidi chora mstari ili roho isiache mwili.Asante ndugu yangu, ukweli kama tungejaliwa kusimama katika mipaka yetu walao tungekuwa na lugha nzuri ya kuongea.
Tunaweza kusimama katika mipaka yetu ila kuna kaudhaifu fulani baina yetu wanaume dhidi ya wanawake, ndio maana kuna namna mwanaume anakuwa victim wa mwanamke , hii nadhani ipo nature zaidi ili ku balance mfumo wa maisha.
Naomba radhi kama nitakuwa nimekosea natumaini wewe ni mwanamke.Umeshaelewa ni nature Pendaelli . Relax na kufanya ubinadamu, ila maumivu yakizidi chora mstari ili roho isiache mwili.
Zitaje mpwa zinazoepukika tuzijue tusepeWananjia nyingi za kukuua zaidi ya hizo
Relax, and enjoy life unapologetically mkuu.Naomba radhi kama nitakuwa nimekosea natumaini wewe ni mwanamke.
Mimi ni mwanaume, nimeumizwa na wanawake mara kadhaa, kila mwanamke alieniumiza niliazimia na kuapa kutojihisha na mwanamke , ila baada ya muda yale maumivu yana poa na kujikuta namuhitaji tena mwanamke maishani mwangu.
Hiki ndicho kinacho tutesa wanaume na kututanguliza mapema ahera.
Katika kuwaza sana kwa nini iwe hivi ndio imegundulika ni asili, mara chache satba mtu kwenda kinyume na asili kisha akafanikiwa.
Wakati unakaribia kufa utaziona tu na uanze kusepa mapema. Kuna njiaa 1000+ za kuua nyau 🤣🤣Zitaje mpwa zinazoepukika tuzijue tusepe
Basi tuchague wa kutuua tuWakati unakaribia kufa utaziona tu na uanze kusepa mapema. Kuna njiaa 1000+ za kuua nyau 🤣🤣
Michepuko ya nn
Nani kasema tunatamani msiwepo? Sijui kwa wengine ila kwa mimi mwanaume bado ana nafasi yake tena kubwa na muhimu.Tunajitahidi, ila mngejaliwa huruma dhidi yetu walao, ila hamtuonei huruma, mnatamani tusiwepo,kinyume na sisi, sisi maisha hayawi maisha bila nyie, ila nyie mmetumia kigezo hicho kutukandamiza na kutumaliza.
Na msumari wa mwisho kwenye jeneza uligongelewa kwenye 50/50 😭😭😭😭Tusiseme uwongo mmekuwa hatarishi mno, maisha ya mwanaume yako mbioni kuhitimika sababu kuu ni mwanamke.