Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Umeongea Fact sema kwa asaivi wanaume wanatafuta sana pesa.Na hata kama kuna mtu anapenda ngono basi sio kama zamani enzi za mwanzo wa Mtandao waFb
Wakishazipata hizo pesa huzitumiaje?
Kama siyo kwa Umalaya?
Money source of evil!