Wanaume tukumbushane juu ya mustakabali wetu

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
Mwanaume aliyeoa ni sawa na Greda linalojenga barabara lakini Barabara ikikamilika linaletwa Gari kubwa la kubeba Greda lisipite ktk barabara kwa sababu ya kusema litaharibu barabara.

Mfano huo ni sawa na wanaume waliooa ambao hujinyima Nguo nzuri, Simu nzuri, Gari zuri, hujinyima Chakula cha mchana na kujituma kupambana kwenye utafutaji ili kutunza familia zao na kusomesha watoto wao.

Lakini watoto wakiwa wakubwa na wanapopata kazi, ktk hali ya kushangaza humjali zaidi mama yao na kumtelekeza Mzee aliyefanya kazi kubwa kwa kujituma kama punda akihangaika peke yake kijijini. Utakuta hakuna mtu anayejali kuona hali ya mzee huyu mstaafu au kujua kama amekula au anapata sitara ya baridi.

Ipo mifano iliyo ya kawaida siku hizi kuona watoto wakimchukua na kumpeleka mama mjini ili kufurahia faida za kuwalea.

Mwanaume, hebu liangalie hilo suala kwa jicho la pili na kuzingatia Malengo na Mpango wako wa maisha yako ya baadaye mapema kabla nguvu hazijapungua. Nakuhakikishia kama hujastuka mapema utakuja wakati huu wa bahati mbaya ambapo hakutakuwepo na mtu anayekujali hata watoto wako mwenyewe.

ANGALIZO: ujumbe huu hauna maana kwamba tusihudumie familia zetu ambalo ni jukumu lisilokwepeka, bali kutafuta balance usijiache nyuma kwa kutaraji kulipwa fadhira na watoto hapo baadaye. Wapo waliobahatika kutunzwa na watoto lakini bahati ya mwenzio.

Inaweza isiwe yako. Kumbuka mwanamke ana ushawishi mkubwa sana kwa wototo stuka chukua hatua mapema.
 
ANGALIZO: ujumbe huu hauna maana kwamba tusihudumie familia zetu ambalo ni jukumu lisilokwepeka, bali kutafuta balance usijiache nyuma kwa kutaraji kulipwa fadhira na watoto hapo baadaye. Wapo waliobahatika kutunzwa na watoto lakini bahati ya mwenzio... Inaweza isiwe yako. Kumbuka mwanamke ana ushawishi mkubwa sana kwa wototo stuka chukua hatua mapema.
Noted 📝
 
Nia ya kuhudumia watoto na familia si wao wakuhudumie baadaye, hiyo ni biashara si malezi ya familia.

Wazazi wanatakiwa kujiwekea mipango yao wenyewe ya maisha ya baadaye.

Kwanza si lazima wazazi watangulie kufariki, inawezekana watoto wakatangulia.
 
Unakuwaje na familia ambayo ili uihudumie inabidi ujinyime na kujitesa?. Duniani inatakiwa mtu ujifunze kufanya mambo kwa kiasi unachokimudu tu.

Kuwa na mtoto mmoja, mpe malezi mazuri huku unaendelea kuishi maisha mema hapa duniani. Ukiona haupo tayari kiuchumi achana na habari za kuwa na watoto wewe jitafute tu kivingine.
 
Mwanaume aliyeoa ni sawa na Greda linalojenga barabara lakini Barabara ikikamilika linaletwa Gari kubwa la kubeba Greda lisipite ktk barabara kwa sababu ya kusema litaharibu barabara.

Mfano huo ni sawa na wanaume waliooa ambao hujinyima Nguo nzuri, Simu nzuri, Gari zuri, hujinyima Chakula cha mchana na kujituma kupambana kwenye utafutaji ili kutunza familia zao na kusomesha watoto wao.

Lakini watoto wakiwa wakubwa na wanapopata kazi, ktk hali ya kushangaza humjali zaidi mama yao na kumtelekeza Mzee aliyefanya kazi kubwa kwa kujituma kama punda akihangaika peke yake kijijini. Utakuta hakuna mtu anayejali kuona hali ya mzee huyu mstaafu au kujua kama amekula au anapata sitara ya baridi.

Ipo mifano iliyo ya kawaida siku hizi kuona watoto wakimchukua na kumpeleka mama mjini ili kufurahia faida za kuwalea.

Mwanaume, hebu liangalie hilo suala kwa jicho la pili na kuzingatia Malengo na Mpango wako wa maisha yako ya baadaye mapema kabla nguvu hazijapungua. Nakuhakikishia kama hujastuka mapema utakuja wakati huu wa bahati mbaya ambapo hakutakuwepo na mtu anayekujali hata watoto wako mwenyewe.

ANGALIZO: ujumbe huu hauna maana kwamba tusihudumie familia zetu ambalo ni jukumu lisilokwepeka, bali kutafuta balance usijiache nyuma kwa kutaraji kulipwa fadhira na watoto hapo baadaye. Wapo waliobahatika kutunzwa na watoto lakini bahati ya mwenzio.

Inaweza isiwe yako. Kumbuka mwanamke ana ushawishi mkubwa sana kwa wototo stuka chukua hatua mapema.
ni wajibu kuhudumia mke na familia ulioitengeneza mwenyewe kikamilifu. inshu za kutengwa baadae ilo ni suala lingine kabisa. afu sidhani kwamba kutengwa ivo ni inatokea tuu lazima kuna mazingira Mwanaume umeyatengeneza polepole.toka kwa mkeo mpaka kufikia hali hiyoo.
 
Back
Top Bottom