Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Maana Nyie Ndio kichwa Cha familia. Samahani naomba niwaulize. Hivi suala la mavazi ya heshima Kwa wake zenu kabla kuolewa na mlivyowaoa Nyie mnalionaje?
Maana ni kama na Nyie mmekaliwa vichwa humo ndani, au Ndio uzungu? Au ushamba wangu wa Mbeya. Sisemi kujitenga kwamba mimi ni mtakatifu no, huenda mimi Ndio siyo mkamilifu kabisa ila tu naona kama wanajiachia mno humo barabarani na nguo zinazoonyesha maungo ya ndani.
Naweza Bora Islamic women kidogo hujisitiri lakini nao baadhi Yao naona wamechoka kujivika nguo zao hizo,sijui ni nzito? Au zitakuwa na joto sana🤦. Ningeweza kushauri kuwa wanawake wenzangu tujisitiri tuonekane kweli tumeheshimishwa lakini naongea na Nyie mnaosema sisi ni vichwa vya familia ..
Mbona kama mmekua mkia, hamna sauti Yaan🤣🙊