Wanaume tuliangalie na hili pia!

Wanaume tuliangalie na hili pia!

Atakuja ila atachoka akiona huna hela na mwelekeo wengi wanataka hela mkuu ndio mahaba yatanogalaization
Ukiona hivyo hajapenda mkuu, mwanamke akipenda ataiba hizo hela kwao akuletee ufanye maisha, tafuta wa level yako mbona maisha ni haya haya mkuu.
 
Shida huwa tunashindwa kuwashape wanawake mapema, pale mapenzi yanapoanza wanaume tunapigwa upofu, unashindwa kumkanya, kumwambia Yale ambayo hatuyapendi mapenzi yakikomaa tatizo linaanza
Siku zote hata mnyama,ulivyoanza kumtreat mwanzo ndo ivoivo ulibadilisha tu nongwa
 
Siku zote hata mnyama,ulivyoanza kumtreat mwanzo ndo ivoivo ulibadilisha tu nongwa
Mtu mzima habadilishwi tabia, anatakiwa atambue na ajitambue, kama mtu anashindwa kufanya reasoning juu ya maamuzi yake arudishwe chekechea huyo.
 
Mtu mzima habadilishwi tabia, anatakiwa atambue na ajitambue, kama mtu anashindwa kufanya reasoning juu ya maamuzi yake arudishwe chekechea huyo.
🤣🤣🤣🤣🤜
 
Back
Top Bottom