Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kupeana majukumuDuh! Karibia tuishi kama mbuzi ukimuona jike unapanda kimoja cha fasta then kila mmoja na habari zake.
Maana Nyie Ndio kichwa Cha familia. Samahani naomba niwaulize. Hivi suala la mavazi ya heshima Kwa wake zenu kabla kuolewa na mlivyowaoa Nyie mnalionaje?
Maana ni kama na Nyie mmekaliwa vichwa humo ndani, au Ndio uzungu? Au ushamba wangu wa Mbeya. Sisemi kujitenga kwamba mimi ni mtakatifu no, huenda mimi Ndio siyo mkamilifu kabisa ila tu naona kama wanajiachia mno humo barabarani na nguo zinazoonyesha maungo ya ndani.
Naweza Bora Islamic women kidogo hujisitiri lakini nao baadhi Yao naona wamechoka kujivika nguo zao hizo,sijui ni nzito? Au zitakuwa na joto sana🤦. Ningeweza kushauri kuwa wanawake wenzangu tujisitiri tuonekane kweli tumeheshimishwa lakini naongea na Nyie mnaosema sisi ni vichwa vya familia ..
Mbona kama mmekua mkia, hamna sauti Yaan🤣🙊
Sijajua kama utasoma! Hopefully hujasoma😳nawe unasadiki?
Hakika ❤️ Kuna muda inabidi tubadilike sisi wenyewe bila kuamrishwaMy ❤️.....umeongea Jambo muhimu Sana ktk Maisha yetu..kiukweli kabisa wanaume wengi sasa hivi wamekuwa SHINGO za familia na sio vichwa vya familia...Yan wao ndio shingo ambazo zimebeba vichwa ambavyo siku hizi vinatumiwa na wake zao!
Wanaume hatujui daraja ambazo tumepewa na Mwenyezi Mungu.....Mtume Muhammad (rehma na Amani ziwe juu yake) anasema ''kama ingesemwa binadamu amsujudie binadamu mwenzake basi angeamrisha mwanamke amsujudie mumewe''
Hii inaonyesha ni kiasi gani mwanaume ana daraja kubwa mbele ya Mwenyezi Mungu kama Baba katika familia....Leo hii hatujitambui wala hatujui majukumu yetu....matokeo yake kama wasimamizi wa familia tunaacha wake zetu na watoto wetu wa kike wanatembea uchi Hali maungo Yao yapo wazi yanaonekana na hlf unakuta Baba eti bado anajiona ni kichwa cha familia...pumbavu Sana!
Mapenzi yetu Kwa wake zetu na watoto zetu yasitufanye tukaingia upofu na kushindwa kusimamiwa maadili ndani ya nyumba zetu....smtm unakutana na vibinti vya shule ya msingi jinsi vilivyo vaa mpaka unajiuliza hivi hawa watoto wanaishi mbugani au wanaishi na wazazi wao?....wanaume ebu tusimamie maadili ndani ya majumba zetu tafadhali.
Halafu mziki KAMILI unakuja siku ya Malipo...usifikir watu wataingia Motoni kirahisi rahisi aisee! Mke atakuja atashitaki Kwa Mola wake '' huyu alikuwa mume wangu lkn hakunihimiza kujistiri''......na mtoto wako wa kike nae '' hawa ni wazazi wangu lkn hawakunisimamia nijistiri'
Hapo ndo utajua kumbe nilipewa dhamana kubwa duniani lkn nilishindwa kuwajibika
Sawa mkuu 🤝Hutakiwi kuvaa kwa namna fulani sababu mume anapenda au hapendi unatakiwa kuvaa kwa kuona ndani mwako kabisa kama mavazi yapo sawa au lah unatakiwa kumtii Mungu zaidi kuliko wanadamu by the way kuna wanaume hawapendi wanawake wanaovaa nguo ndefu.
Wanajisitiri wakati wa kutafuta mtu wa kuwaoaHutakiwi kuvaa kwa namna fulani sababu mume anapenda au hapendi unatakiwa kuvaa kwa kuona ndani mwako kabisa kama mavazi yapo sawa au lah unatakiwa kumtii Mungu zaidi kuliko wanadamu by the way kuna wanaume hawapendi wanawake wanaovaa nguo ndefu.
Sawa mkuu,sema Kuna mdau hapo juu kasema mwanamke akiwa na pesa anafanya atakacho ndani na mwanaume huwez sema kituUvaaji wa mwanamke unategemeana na mmewe. Mke hawezi kuvaa nguo zinazomchukiza Mme wake. So mwanamke akivaa mavazi ya jina fulan tambua kuwa mmewe kaidhinisha na kupendezwa nayo
Wengine tunapenda kuona mshepu na mitraakle ya wake zetu na ndio tulichowapendea hivyo sasa unataka avae ma bwanga ili tutamani mishepu na mitraako mingine huko nje.Maana Nyie Ndio kichwa Cha familia. Samahani naomba niwaulize. Hivi suala la mavazi ya heshima Kwa wake zenu kabla kuolewa na mlivyowaoa Nyie mnalionaje?
Maana ni kama na Nyie mmekaliwa vichwa humo ndani, au Ndio uzungu? Au ushamba wangu wa Mbeya. Sisemi kujitenga kwamba mimi ni mtakatifu no, huenda mimi Ndio siyo mkamilifu kabisa ila tu naona kama wanajiachia mno humo barabarani na nguo zinazoonyesha maungo ya ndani.
Naweza Bora Islamic women kidogo hujisitiri lakini nao baadhi Yao naona wamechoka kujivika nguo zao hizo,sijui ni nzito? Au zitakuwa na joto sana[emoji1751]. Ningeweza kushauri kuwa wanawake wenzangu tujisitiri tuonekane kweli tumeheshimishwa lakini naongea na Nyie mnaosema sisi ni vichwa vya familia ..
Mbona kama mmekua mkia, hamna sauti Yaan[emoji1787][emoji87]