Wanaume tuliooa ni vizuri tukawajua ma-Ex wa wenza wetu. Hawa watu wanatuchapia sana wake zetu

boss kwa hiyo kuchapiwa na Ex ni siri ya ndani?

Kumbuka

Dhambi isiyosameheka kwa mwanaume ni mke kuchepuka
Jitahidi uwe na michepuko 20 ambayo haijaolewa,baadae ikishaolewa nawe utakuwa unajipigia tu kama anavyopogwa mkeo
 
kama sijuinwala sihisi hivyo basi hakuna tatizo Ila nilijua huwa Ni 1x1 dozi tayari iwe nimeamua kwa hasira au busara.
 
ila Kama analiwa lazima utajua tu nakwambia lazima utajua labda uwe sio mtaalamu wa kuunganisha dots, kusoma Alama au hata huenda hujamzoea mkeo. Kuna wakina Mimi hata akitoka kuliwa lazima machare yacheze maana shetani kwa ujinga wake akimaliza kuwafanyisha dhambi huyo huyo anakuwa wa kwanza kutoboa Siri kwa ishara mbali mbali.
 
Halafu sasa asilimia 70 ya wanawake wanaochepuka huwa wanaenda kuliwa TIGO.. Trust me
 
Mh! Siku zote nilidhani wewe ni ME.

 
Usisingizie kukua.. Sio kila mwanamke anachepuka nje ya ndoa wapo wachache waaminifu Mimi sio mdogo kama unavyofikiria[emoji23][emoji23][emoji23]
1 in 100 mkuu mie nayaelewa sana hayo mambo
 
Hii 50/50 imekuja kuwapumbaza sana hawa Wanawake wa kileo, iko hivi

Tangu Awali Mungu Alipoiumba Dunia alimuumba Adam amiliki na kuvitawala vyote vilivyokuwemo Bustanini, hivyo asili ya Mwanaume ni Kumiliki na Kutawala, ukikosea hapo tu wewe mwanamke utaleta Ushindani ambao hata siku moja hutokaa Ushinde
 
Viporo ni vitamu sana wakuu....ila inauma sana kujua mkeo ni kiporo cha kajamaa#obheja
 
Ndugu unasema tu
 
kuna kipind nilichapiwaga demu hakyanan mpaka kongosho ilihamia mgongoni,usiombe japo kupasha kiporo cha jiran raha ila kumbe na chako kinapashwa
Haha wewe jamaa pimbi kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…