Wanaume tuliooa ni vizuri tukawajua ma-Ex wa wenza wetu. Hawa watu wanatuchapia sana wake zetu

Na mkeo anachapwa vivyohivyo ... Mzizi/muasherati Hana wivu ... Unawambato wanawake wangapi!!!?? Kwa nini wako akimbwato unakuwa mkaliiii!!?!??
 

Sasa mkuu ndo umekuja kunisema huku?
 

Siyo tu wananyanduliwa, wengine waume zao goigoi kitandani wakati x anampekenyua mpaka anakata network unatarajia nini? Mungu aturehemu. Mwaka jana nimekula milioni moja kimasihara, na mwaka huu nimekula tena. Ninamtepenyua alafu akifika kwake ananipongeza, Imethibitushwa.... umepokea 1,000,000. Sasa nifanyeje.
 
Ndiyo maana wanaume tunakufa mapema uko bize kufikiria kupata hela uko bize kumkojoza mwenza wako Tena stress za kutaka kujua ex wamkeo

Mie sitaki kabisa kujua

Kwa kawaida Hilo shimo ni la mwanaume yeyote wewe umelipia tu liwe karibu na wewe lkn anayetembea nalo ndo anapanga Nani ampe muda upi

Mwanamke akiamua kupigwa rungu haki ya Nani waweza msindikiza kbs kwenda kuosha na dume jinginekabisa
 
Haha
 
[emoji849][emoji849]
 
Wewe jamaa unajiona mjanja sana sio haha
 
Sijui kwanini Ex asilimia nyingi huwa hawaachani, naona huwa wanapumzika then penzi la mume ama la mke likipoa tu, wanaanza kutafuta viporo vyao popote pale vilipo kisha wanapasha.
Hivi kwanini....?
 
Mr. kabanga soma hapa tafadhali, majibu yapo hapa.!!
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…