Wanaume tuliooa ni vizuri tukawajua ma-Ex wa wenza wetu. Hawa watu wanatuchapia sana wake zetu

Mi ni mfupi 4'1 mweusi, kibamia, broke.

Kwa kifupi ni amenistiri. Am not gon blow up my chances of at least not dying alone over hiyo komedi unayotaka kunifundisha.
Mmmh
 
Mwaka huu vipi
 
Duuh
 
Hahaha
 
Utjinyonga wewe.
 
apeche alolo unaposhauri kitu jua kuna watu wabaweza ku handle na wasioweza so be careful
 
Hata ukiwajua itakusaidia nn, na wewe tafuta ex wako umbanjue mambo yaishe
 
Inachoma sana kusikia mke wako analiwa na mwamba mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…