Wanaume tuliooa ni vizuri tukawajua ma-Ex wa wenza wetu. Hawa watu wanatuchapia sana wake zetu

Kuna challenge inaendelea huko instagramu .... Wanawake waliopo kwenye ndoa wanatoa ya moyoni jinsi maEx wanavyowasugua hivyo visimi .... Wanawake wanavyojisifia namna wanavyochepuka kwa siri lakini bila woga.... Aloooo... Hizi ndoa ni ngumu sana... Wallah
 
Hiyo challenge iko account gani instagram!
 
wewe pia unawala sama ma x wako
 
Unataka tupate presha nini?
 
Wengine wana album nzima ya Ma-X...ukifwatilia utapata tabu sana
..mwanamke anaweza asichepuke na X vile vile na akaanzisha mahusiano mapya baada yako..
..muhimu timiza majukumu kama mume hayo mengine ni out of your control
Wanawake wa huku uswahilini wanaliwa kwa sababu ya vikoba!
 
Kataa ndoa.
 
Hiyo app ya kutafuta sms kwenye dust bin ipo??!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…