Wanaume tuliooa ni vizuri tukawajua ma-Ex wa wenza wetu. Hawa watu wanatuchapia sana wake zetu

Sijui kwanini Ex asilimia nyingi huwa hawaachani, naona huwa wanapumzika then penzi la mume ama la mke likipoa tu, wanaanza kutafuta viporo vyao popote pale vilipo kisha wanapasha.
Kwa sabbabu kunakuwa na spiritual bond
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Hii stage hutakiwi kuruka, oa tu chief ,

Wanawake wana siri nzito, zingine wako radhi wazikwe nazo,,
Noma sana mkuu inauma sana sema basi tu, achana na mtoa mada chukua mfano tu mtu wewe ni muaminifu kwa mwenza wako halafu yeye anakua sio muaminifu, mwisho wa siku me naona bora mtu ujue ukweli no matter utaumia kiasi gani ila mwisho wa siku utapona
 
Kumbe.??
Please tell me more about this.!! And how to break it.?
Ni kw njia ya maombi ya toba na kuvunja hyo spiritual bond

1. Omba usamehewe.

2. Omba uwekwe huru na kufunguliwa.

3. Omba ili kuzivunja nguvu za tamaa ya kurithiwa; omba ili umsamehe mtu aliyeingiza dhambi hiyo katika ukoo wa familia.

4. Ombea kuvunjwa kwa muungano wowote wa nafsi kati ya mhusika anayetaka kuombewa na watu aliyehusiana nao kingono au na mume wa zamani ambaye hameachana.

4a. Omba kwamba upanga wa Roho Mtakatifu utamtenganisha kila mwenzi na kuvunza kila muungano wa nafsi.

4b. Uweke msalaba wa Yesu kati ya kila mwenzi na kuwafunika na damu ya Yesu.

4c. “Mfungue” kila mwenzi kutoka kwa mapatano yasiyo takatifu.

4d. Katika jina la Yesu, tangaza kutenganishwa kwa roho za watu waliojihusisha katika uzinzi.

4e. Chukua mamlaka (katika jina la Yesu), na uvunje nguvu zozote za kishetani zilizo ndani ya maisha ya mtu huyo kwa ajili ya kujihusisha katika ngono isiyo halali, ufungwa usio wa kingono, au uzinzi wa kiroho.

4f. Ikiwa sasa mtu huyo ameolewa kwa mtu ambaye “amezaliwa mara ya pili”, omba kwamba Mungu atatambua muungano huo wa sasa kama inavyosema katika Mwa.2:24 na Marko 10:2-12 kwamba “nao wawili watakuwa mwili mmoja”).

5. Ombea utakaso wa mwili, nafsi na roho.

5a. Ombi ili akili ya mtu hiyo itakaswe kutokana na picha za kumfanya mtu awe na ashiki, matukio ya kingono yasiyo ya kiungu na mawazo yote ya dhambi, maneno, na matendo.

5b. Ombea utakaso wa macho yaliyotazama vitu ambavyo hayakutakiwa kutazama.

5c. Ombea utakaso wa masikio yaliyosikia mambo yasiyo matakatifu.

5d. Ombea utakaso wa mdomo, ngozi, mikono, na sehemu za siri kwa ajili ya vitu viliyovigusa.

6. Omba ukipinga roho za uzinzi, kutazama picha zinazoleta ashiki, desturi za kingono zisizo za kawaida, hasa ikiwa mhusika huyo amewahi kufanya ngono na kahaba au mnyama.

7. Ombea mhusika ili aweze kuwekwa huru kutoka ana uvozu huo wote na kutoka kwa matokeo ya dhambi hizo.

8. Omba kwamba Mungu atayaponya matukio hayo yote ili Shetani asiweze tena kuyatumia kwa makusudi ya uovu.
 
Kama atakuja kueleza itakua vizuri zaidi ila navyofahamu mimi, mtu yoyote utakayezini nae (kuzini kufanya mapenzi pasipo ndoa) kuna maagano ya kiroho mtayaweka.. Mfano mtu uliyezini nae ana ma laana ya ukoo wake, mikosi lazima na wewe utayapata kwa sababu unapozini na mtu mnakua ni kama mnafanya uumbaji.. Pia inakua kama mwili mmoja kwa wakati huo so kuna maagano mnakua mnaweka either mnajua au hamjui

Hii issue imekaa kiimani zaidi, kuvunja ndo mpaka nayo iwe kiimani zaidi, hasa maombi mazito ya kufunga na kuomba, kuna maombi ya kuvunja maagano ya kipepo, laana za ukoo n.k

Shukrani sana sana..!!!
Barikiwa mno.!!
 
Achana na hilo usije kufa kwa pressure! La kufahamu tu kama na wewe ulikuwa unachapa wake za watu,jiandae kisaikolojia tu.
 
Kama atakuja kueleza itakua vizuri zaidi ila navyofahamu mimi, mtu yoyote utakayezini nae (kuzini kufanya mapenzi pasipo ndoa) kuna maagano ya kiroho mtayaweka.. Mfano mtu uliyezini nae ana ma laana ya ukoo wake, mikosi lazima na wewe utayapata kwa sababu unapozini na mtu mnakua ni kama mnafanya uumbaji.. Pia inakua kama mwili mmoja kwa wakati huo so kuna maagano mnakua mnaweka either mnajua au hamjui

Hii issue imekaa kiimani zaidi, kuvunja ndo mpaka nayo iwe kiimani zaidi, hasa maombi mazito ya kufunga na kuomba, kuna maombi ya kuvunja maagano ya kipepo, laana za ukoo n.k
Good Lord,
Shukrani sana sana..!
Barikiwa mno pia, Laiti tungejua tuyafanyayo yana uzito katika ulimwengu wa kiroho.!
 
Ndoa ikianza kuingia kwenye migogoro tu hapo ndipi ma Ex wanakuja kuwa wafariji wakuu. Yaani kuwa macho sana ndoa yako inapokuwa migogoro na mabaharia wanaotea sana kipindi hiki.
 
Back
Top Bottom